您搜索了: potestis (拉丁语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Latin

Swahili

信息

Latin

potestis

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

拉丁语

斯瓦希里语

信息

拉丁语

non potestis mensae domini participes esse et mensae daemonioru

斯瓦希里语

hamwezi kunywa kikombe cha bwana na kikombe cha pepo; hamwezi kushiriki katika meza ya bwana na katika meza ya pepo.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

拉丁语

prout potestis legentes intellegere prudentiam meam in mysterio christ

斯瓦希里语

nanyi mkiyasoma maneno yangu mtaweza kujua jinsi ninavyoielewa siri hiyo ya kristo.)

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

拉丁语

adhuc multa habeo vobis dicere sed non potestis portare mod

斯瓦希里语

"ninayo bado mengi ya kuwaambieni, ila kwa sasa hamwezi kuyastahimili.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

拉丁语

potestis enim omnes per singulos prophetare ut omnes discant et omnes exhortentu

斯瓦希里语

maana nyote mwaweza kutangaza ujumbe wa mungu, mmoja baada ya mwingine, ili nyote mpate kujifunza na kutiwa moyo.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

拉丁语

quibus ipse ait numquid potestis filios sponsi dum cum illis est sponsus facere ieiunar

斯瓦希里语

yesu akawajibu, "je, mnaweza kuwataka wale walioalikwa arusini wafunge hali bwana arusi yuko pamoja nao?

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

拉丁语

dicebant ergo iudaei numquid interficiet semet ipsum quia dicit quo ego vado vos non potestis venir

斯瓦希里语

basi, viongozi wa wayahudi wakasema, "je, atajiua? mbona anasema: niendako ninyi hamwezi kufika?"

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

拉丁语

et quidam descendentes de iudaea docebant fratres quia nisi circumcidamini secundum morem mosi non potestis salvi fier

斯瓦希里语

basi, watu wengine walifika antiokia kutoka yudea wakaanza kuwafundisha wale ndugu wakisema, "kama hamtatahiriwa kufuatana na mapokeo ya sheria ya mose, hamtaweza kuokolewa."

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

拉丁语

iesus autem ait eis nescitis quid petatis potestis bibere calicem quem ego bibo aut baptismum quo ego baptizor baptizar

斯瓦希里语

yesu akawaambia, "hamjui mnachoomba! je, mnaweza kunywa kikombe nitakachokunywa, au kubatizwa kama nitakavyobatizwa?"

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

拉丁语

concupiscitis et non habetis occiditis et zelatis et non potestis adipisci litigatis et belligeratis non habetis propter quod non postulati

斯瓦希里语

mnatamani vitu na kwa vile hamvipati mko tayari kuua; mwatamani sana kupata vitu, lakini hamvipati, hivyo mnagombana na kupigana. hampati kile mnachotaka kwa sababu hamkiombi kwa mungu.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

拉丁语

nemo potest duobus dominis servire aut enim unum odio habebit et alterum diliget aut unum sustinebit et alterum contemnet non potestis deo servire et mamona

斯瓦希里语

"hakuna mtu awezaye kutumikia mabwana wawili. maana atamchukia mmoja na kumpenda huyo wa pili; au ataambatana na mmoja na kumdharau huyo mwingine. hamwezi kumtumikia mungu na mali pamoja.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

拉丁语

temptatio vos non adprehendat nisi humana fidelis autem deus qui non patietur vos temptari super id quod potestis sed faciet cum temptatione etiam proventum ut possitis sustiner

斯瓦希里语

majaribu mliyokwisha pata ni ya kawaida kwa binadamu. mungu ni mwaminifu, naye hataruhusu mjaribiwe kupita nguvu zenu, ila pamoja na majaribu, yeye atawapeni pia nguvu ya kustahimili na njia ya kutoka humo salama.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

拉丁语

faciem ergo caeli diiudicare nostis signa autem temporum non potestis generatio mala et adultera signum quaerit et signum non dabitur ei nisi signum ionae et relictis illis abii

斯瓦希里语

kizazi kiovu kisicho na uaminifu! mnataka ishara, lakini hamtapewa ishara yoyote isipokuwa tu ile ya yona." basi, akawaacha, akaenda zake.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,777,810,121 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認