来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
ab his autem qui videbantur esse aliquid quales aliquando fuerint nihil mea interest deus personam hominis non accipit mihi enim qui videbantur nihil contulerun
lakini watu hawa wanaosemekana kuwa ni viongozi--kama kweli walikuwa hivyo au sivyo, kwangu si kitu, maana mungu hahukumu kwa kuangalia mambo ya nje--watu hawa hawakuwa na kitu cha kuongeza katika habari hii njema kama niihubirivyo.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
ascendi autem secundum revelationem et contuli cum illis evangelium quod praedico in gentibus seorsum autem his qui videbantur ne forte in vacuum currerem aut cucurrisse
kwenda kwangu kulitokana na ufunuo alionipa mungu. katika kikao cha faragha niliwaeleza hao viongozi ujumbe wa habari njema niliohubiri kwa watu wa mataifa. nilifanya hivyo kusudi kazi yangu niliyokuwa nimefanya, na ile ninayofanya sasa isije ikawa bure.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量: