来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
lakini kwa vile daudi alikuwa nabii, alijua kuwa mungu alimwapia kiapo kwamba atamtawaza mmoja wa uzawa wake kuwa mfalme mahali pake.
prorok dakle buduæi, i znajuæi da mu se bog kletvom kle od roda bedara njegovih po telu podignuti hrista, i posaditi ga na prestolu njegovom,
yosefu pia alifanya safari kutoka mjini nazareti mkoani galilaya. kwa kuwa alikuwa wa jamaa na ukoo wa daudi alikwenda mjini bethlehemu mkoani yuda alikozaliwa mfalme daudi.
tada podje i josif iz galileje, iz grada nazareta u judeju u grad davidov koji se zvae vitlejem, jer on bee iz doma i plemena davidovog,
basi, kulikuwa na vizazi kumi na vinne tangu abrahamu mpaka daudi, vizazi kumi na vinne tangu daudi mpaka wayahudi walipochukuliwa mateka babuloni, na vizazi kumi na vinne tangu kuchukuliwa mateka mpaka wakati wa kristo.
svega dakle kolena od avrama do davida, kolena èetrnaest, a od davida do seobe vavilonske, kolena èetrnaest, a od seobe vavilonske do hrista, kolena èetrnaest.
daudi mwenyewe akiongozwa na roho mtakatifu alisema: bwana alimwambia bwana wangu: keti upande wangu wa kulia, mpaka nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako."
jer sam david kaza duhom svetim: reèe gospod gospodu mom: sedi meni s desne strane, dok poloim neprijatelje tvoje podnoje nogama tvojim.
kisha mmoja wa wale wazee akaniambia, "usilie! tazama! simba wa kabila la yuda, mjukuu maarufu wa daudi, ameshinda. yeye anaweza kuivunja mihuri yake saba na kukifungua hicho kitabu."
i jedan od stareina reèe mi: ne plaèi, evo je nadvladao lav, koji je od kolena judinog, koren davidov, da otvori knjigu i razlomi sedam peèata njenih.