来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
maana hawakuwa bado wameelewa maana ya ile mikate. akili zao zilikuwa bado zimepumbazika.
כי לא השכילו בדבר ככרות הלחם מפני טמטום לבבם׃
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
lakini hawakuwa wamejaliwa watoto kwa vile elisabeti alikuwa tasa, nao wote wawili walikuwa wazee sana.
ולא היה להם ילד כי אלישבע עקרה ושניהם באו בימים׃
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
lakini itakuwaje iwapo baadhi yao hawakuwa waaminifu? je, jambo hilo litaondoa uaminifu wa mungu?
כי מה הוא אם מקצתם לא האמינו היבטל חסרון אמונתם את אמונת אלהים׃
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
wakati huo umati mkubwa wa watu ulikusanyika tena, na hawakuwa na chakula. basi, yesu akawaita wanafunzi wake, akawaambia,
ויהי בימים ההם בהקבץ עם רב ואין להם מה יאכלו ויקרא אל תלמידיו ויאמר אליהם׃
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
lakini wale wanafunzi wengine walikuja pwani kwa mashua huku wanauvuta wavu uliojaa samaki; hawakuwa mbali na nchi kavu, ila walikuwa yapata mita mia moja kutoka ukingoni.
והתלמידים הנשארים באו בספינה כי לא הרחיקו מן היבשה כי אם כמאתים אמה וימשכו את המכמרת עם הדגים׃
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
agano hili halitakuwa kama lile nililofanya na babu zao siku ile nilipowaongoza kwa mkono kutoka nchi ya misri. hawakuwa waaminifu kwa agano langu; na hivyo mimi sikuwajali, asema bwana.
לא כברית אשר כרתי את אבותם ביום החזיקי בידם להוציאם מארץ מצרים אשר המה הפרו את בריתי ואנכי בחלתי בם נאם יהוה׃
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:
lakini watu hawa wanaosemekana kuwa ni viongozi--kama kweli walikuwa hivyo au sivyo, kwangu si kitu, maana mungu hahukumu kwa kuangalia mambo ya nje--watu hawa hawakuwa na kitu cha kuongeza katika habari hii njema kama niihubirivyo.
ומאת הנחשבים להיות מה יהיו מי שיהיו אינני חושש לזה כי האלהים לא ישא פני איש לי לא הוסיפו החשובים מאומה׃
最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量: