您搜索了: iliyokuwa (斯瓦希里语 - 德语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

German

信息

Swahili

iliyokuwa

German

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

德语

信息

斯瓦希里语

tulikuwa tumekaa kwenye meza iliyokuwa karibu na mlango.

德语

wir saßen an einem tisch in der nähe der tür.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

huko, tulikuta meli iliyokuwa inakwenda foinike, hivyo tulipanda, tukasafiri.

德语

und da wir ein schiff fanden, das nach phönizien fuhr, traten wir hinein und fuhren hin.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

katika nyumba jirani iliyokuwa imeharibiwa kwa moto, tulikuta maiti zaidi na uvundo usiovumilika.

德语

in einem nahegelegenen haus, das abgebrannt war, fanden wir noch mehr leichen.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kabla ya kujaliwa imani, sheria ilitufanya wafungwa mpaka imani hiyo iliyokuwa inakuja ifunuliwe.

德语

ehe denn aber der glaube kam, wurden wir unter dem gesetz verwahrt und verschlossen auf den glauben, der da sollte offenbart werden.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

yohane alikuwa kama taa iliyokuwa ikiwaka na kuangaza, nanyi mlikuwa tayari kufurahia mwanga huo kwa kitambo.

德语

er war ein brennend und scheinend licht; ihr aber wolltet eine kleine weile fröhlich sein in seinem lichte.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

...baraza la katiba liliondoa moja wapo ya ibara ya muswada wa serikali iliyokuwa ikifafanua maana ya udukuzi wa kimataifa.

德语

...der verfassungsrat legte einspruch gegen einen der artikel in der regierungsvorlage zu internationaler Überwachung ein.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wafungwa 41 wa kisiasa bravely walichapishakwa weledi mkubwa taarifa iliyokuwa inasema walishuhudia dalili za kuteswa katika mwili wa sattar.

德语

41 politische gefangene veröffentlichten mutigerweise eine erklärung, in der sie aussagen, dass sie anzeichen von folter auf sattars körper gesehen haben.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hii ilikuwa ni kampeni yetu iliyokuwa na kasi kubwa kabisa kuliko nyingine yoyote ambapo, maelfu ya watu walikuwa wakijiunga kila siku.

德语

es war unsere am schnellsten wachsende kampagne, die tausende menschen am tag unterschrieben.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

nilipitia kwenye ukaguzi ambao haukuwa wa kibinadamu kabisa kabla ya kupelekwa kwenye sero iliyokuwa na giza ili kuungana na waliokuwemo humo….

德语

ich musste mich auf entmenschlichende art und weise durchsuchen lassen, bevor sie mich in eine dunkle haftzelle brachten, in der sich bereits andere häftlinge befanden ....

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hivyo walitafuta kina cha bahari kwa kuteremsha kamba iliyokuwa imefungiwa kitu kizito, wakapata kina cha mita arobaini. baadaye wakapima tena wakapata mita thelathini.

德语

und sie senkten den bleiwurf ein und fanden zwanzig klafter tief; und über ein wenig davon senkten sie abermals und fanden fünfzehn klafter.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

akiwa kijana mdogo katika kambi ya abia iliyokuwa na watu zaidi ya 40,000, kambini hapo, aliweza kuanzisha kikundi cha amani akiwa na wenzake.

德语

das, was victor aus reinem mitgefühl getan hat, hat ihm einen platz auf dieser prestigeträchtigen liste verschafft.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwenye mtandao wa twita na facebook, #civsocial ilikuwa ni alama ishara iliyokuwa ikitumika kwa ajili ya shughuli za uokoaji wa dhararua na misaada ya kibinadamu.

德语

bei twitter und facebook ist #civsocial der hashtag für humanitäre soforthilfe.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baadhi ya wanaume na wanawake hawa walikuwa wakifanya kazi na zone9, blogu ya ushirika iliyokuwa inazungumzia masuala ya kijamii na ya kisiasa nchini ethiopia ikiwa ni pamoja na kuhamasisha uzingatiaji wa haki za binadamu na uwajibikaji wa serikali.

德语

einige von ihnen hatten für zone9 gearbeitet, einem bloggerkollektiv, das soziale und politische themen Äthiopiens bearbeitet und darüber hinaus für menschenrechte und eine rechenschaftspflicht der regierung eingetreten ist.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

bangladesh ilikwa nchi ya kwanza kukutana na meena mara baada ya filamu yake ya kwanza iliyokuwa inaonesha harakati zake za kutaka kwenda shuleni iliyokuwa ikioneshwa katika televisheni ya taifa ya bangladesh(btv) mwaka 1993.

德语

bangladesch war das erste land, das meena kennenlernte , als 1993 ein film im staatlichen fernsehen von bangladesch ausgestrahlt wurde, der meenas bemühungen, eine schule zu besuchen, thematisierte.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa imani abeli alimtolea mungu dhabihu iliyokuwa bora zaidi kuliko ile ya kaini. kwa imani yake alikubaliwa na mungu kuwa mwadilifu; mungu mwenyewe alizikubali sadaka zake. kwa imani yake ingawa amekufa, bado ananena.

德语

durch den glauben hat abel gott ein größeres opfer getan denn kain; durch welchen er zeugnis überkommen hat, daß er gerecht sei, da gott zeugte von seiner gabe; und durch denselben redet er noch, wiewohl er gestorben ist.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

afisa kutoka wizara ya kilimo alipuuza ukosoaji huo kwamba ugawaji wa ardhi ‘umeleta athari hasi kwa jamii iliyokuwa ikiishi karibu na mashamba’, akidai kwamba ‘umakini wa pekee umewekwa kuufanya uwekezaji huu usiwe na madhara kwa jamii inayoishi karibu na mashamba hayo na hatua hii itaendelea kwa mtindo ulioimarika’.

德语

er spielte kritik herunter, landpachten hätten "negative folgen für die gemeinden, die in der nähe der farmen leben". er sagte, man habe sich "gebührend bemüht, nachteilige folgen dieser investitionen für die in der nähe lebende bevölkerung auszuschließen" und werde dies "verstärkt fortsetzen".

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,800,471,335 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認