您搜索了: mahakama (斯瓦希里语 - 德语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

德语

信息

斯瓦希里语

mahakama

德语

rechtsprechung

最后更新: 2013-08-31
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

mahakama lazima iwajibike kwa hili.

德语

die justiz sollte hierfür zur verantwortung gezogen werden.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

king abdulla amekubali mradi mpya wa kuendeleza mahakama na elimu

德语

könig abdullah realisiert zwei projekte, um die justiz und die bildung zu entwickeln.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

kuhusu uamuzi wa mahakama wa haki ya kusaidiwa kufa nchini afrika kusini

德语

südafrika: gerichtsurteil zur sterbehilfe

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

tarehe ya mahakama bado haijawekwa - siku 100 baada ya kukamatwa kwake.

德语

es steht immer noch kein gerichtstermin fest, und das 100 tage nach seiner festnahme.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

kwa sababu hii, abel alihukumiwa kifungo cha miezi minne kwa kuibeza mahakama.

德语

daraufhin ist abel wegen missachtung des gerichts zu vier monaten gefängnis verurteilt worden.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

kwangu mimi si kitu nikihukumiwa na ninyi, au na mahakama ya kibinadamu; wala sijihukumu.

德语

mir aber ist's ein geringes, daß ich von euch gerichtet werde oder von einem menschlichen tage; auch richte ich mich selbst nicht.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

enrique aranda ochoa anafikiria kuihamishia kesi yake katika mahakama ya amerika inayoshughulikia maswala ya haki za binadamu.

德语

die bloggerin gabriela gutierrez m. von animal político beschreibt das wirken des schriftstellers im gefängnis:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

hii ndio hukumu kubwa zaidi kwa watu wengi kuwahi kutolewa kwa wakati mmoja katika historia ya mahakama za misri.

德语

dies ist die größte massenverurteilung zum tode in der geschichte der ägyptischen justiz.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

anathubutuje mmoja wenu kumshtaki ndugu muumini mbele ya mahakama ya watu wasiomjua mungu badala ya kumshtaki mbele ya watu wa mungu?

德语

wie darf jemand unter euch, so er einen handel hat mit einem andern, hadern vor den ungerechten und nicht vor den heiligen?

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

ninazungumzia kuhusu hukumu ya kihistoria ya mahakama iliyotolewa na mahakama ya jinai ya minya dhidi ya washitakiwa 529, ndio ile ambayo duniani yote inaizungumzia.

德语

ich spreche über den historischen urteilsspruch des strafgerichts von minya gegen 529 angeklagte, ja genau den, über den die ganze welt gerade spricht.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

edom (kushoto) akiwa na mahlet akisindikizwa kwenye chumba cha mahakama ndani ya viunga vya mahakama kuu jijini addis ababa.

德语

edom (links) und mahlet werden zum gerichtsgebäude gebracht, das sich auf dem gelände des obersten gerichts in addis abeba befindet.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

wanablogu na waandishi tisa, wanne wakiwa wanachama wa global voices, wamefunguliwa mashitaka ya ugaidi na shughuli zinazohusiana na ugaidi mbele ya mahakama kuu ya lideta nchini ethiopia hapo jana.

德语

neun blogger und journalisten, vier von ihnen sind mitglieder von global voices, sind gestern vor dem obersten gerichtshof in lideta wegen der unterstützung terroristischer aktivitäten angeklagt worden.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

kisheria, hatua hii inapelekwa kwenye mahakama za ufaransa, chini ya jitihada zilizoratibiwa na haki za kidijitali ulaya (edri, kundi linalofanya kazi zake jijini brussels.

德语

auf juristischer ebene ist durch die koordinierten anstrengungen der european digital rights (edri), einer gruppierung aus brüssel, eine klage bei den französischen gerichtshöfen erhoben worden.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

mapema leo, prita mulyasari, mama wa nyumbani aliyeshtakiwa kwa kuandika barua pepe ya kulalamikia huduma mbaya iliyotolewa na hospitali, alipatikana na hatia ya kuchafua jina la hospitali hiyo ya binafsi na mahakama kuu ya tangerang.

德语

heute morgen wurde die hausfrau prita mulyasari vom high court tangerang wegen verleumdung eines privaten krankenhauses verurteilt, weil sie per e-mail eine beschwerde über schlechte behandlung in dem krankenhaus geschrieben hatte.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

baada ya kushambuliwa kwa charlie hebdo, pamoja na serikali kukabiliwa na upinzani mkubwa kutoka kwa makundi ya kiraia, mwezi mei 2015 bunge la ufaransa lilipitisha muswada unaoiruhusu serikali kusikiliza simu na kusoma barua pepe za watu wanaohisiwa kuwa magaidi bila kulazimika kupata ruhusa kutoka kwa jaji wa mahakama ya sheria.

德语

in der folge des angriffs auf charlie hebdo und trotz der vehementen opposition von bürgerrechtsgruppen verabschiedete das französische parlament im mai 2015 ein gesetz, das es der regierung erlaubt, die telefonanrufe und e-mails mutmaßlicher terroristen ohne vorausgehende autorisierung durch einen richter zu überwachen.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

siku ya februari 23 2012, mahakama ya ulaya ya haki za binadamu, mjini strasbourg, ilifikia uamuzi wa kihistoria. mahakama hii iliamua kwamba nchi ya italia ilikiuka sheria za mkataba wa ulaya wa haki za binadamu ilipowakamata wakimbizi waeritrea na wasomali na kuwarudisha libya.

德语

am 23. februar hat der europäische gerichtshof für menschenrechte in straßburg ein historisches urteil gefällt: die richter haben italien einstimmig für das abfangen und zurücksenden schwarzafrikanischer migranten verurteilt, welches einen eklatanten verstoß gegen die von italien unterzeichneten internationalen konventionen und verträge darstellt.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

mnamo mei 30, mahakama ilimtoza amina faini ya dinari 300 za tunisia (150 euro) kwa "kumiliki kifaa hatari kisichoruhusiwa" -kemikali za kupulizia.

德语

am 30. mai hatte ein gericht amina eine geldstrafe von 300 tunesischen dinar (150 €) für den "unerlaubten besitz eines entflammbaren objekts" auferlegt - pfefferspray.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia
警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,794,107,691 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認