您搜索了: heri ya pasaka (斯瓦希里语 - 意大利语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

Italian

信息

Swahili

heri ya pasaka

Italian

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

意大利语

信息

斯瓦希里语

heri ya siku ya kuzaliwa

意大利语

tanti auguri amore mio

最后更新: 2022-09-16
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

heri ya siku ya uhuru #tanzania50

意大利语

felice giorno dell'indipendenza.#tanzania50

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

heri ya siku ya kuzaliwa rafiki yangu

意大利语

auguri amici miei

最后更新: 2024-04-02
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

sikukuu ya wayahudi ya pasaka ilikuwa imekaribia; hivyo yesu akaenda yerusalemu.

意大利语

si avvicinava intanto la pasqua dei giudei e gesù salì a gerusalemme

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

yesu alipokuwa yerusalemu kwa sikukuu ya pasaka, watu wengi walimwamini walipoona ishara alizozifanya.

意大利语

mentre era a gerusalemme per la pasqua, durante la festa molti, vedendo i segni che faceva, credettero nel suo nome

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ilikuwa kawaida wakati wa sikukuu ya pasaka mkuu wa mkoa kuwafungulia wayahudi mfungwa mmoja waliyemtaka.

意大利语

il governatore era solito, per ciascuna festa di pasqua, rilasciare al popolo un prigioniero, a loro scelta

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

basi, wakaenda, wakakuta kila kitu sawa kama yesu alivyokuwa amewaambia; wakaandaa karamu ya pasaka.

意大利语

essi andarono e trovarono tutto come aveva loro detto e prepararono la pasqua

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

sikukuu ya wayahudi ya pasaka ilikuwa karibu, na watu wengi walikwenda yerusalemu ili wajitakase kabla ya sikukuu hiyo.

意大利语

era vicina la pasqua dei giudei e molti dalla regione andarono a gerusalemme prima della pasqua per purificarsi

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

@chickabouttown: heri ya kufikia miaka 50, tanganyika! #tanzania50

意大利语

auguro alla popolazione libertà dalla corruzione e dal malgoverno. #africa

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kwa imani aliadhimisha siku ya pasaka, akaamuru damu inyunyizwe juu ya milango, ili yule malaika mwangamizi asiwaue wazaliwa wa kwanza wa israeli.

意大利语

per fede celebrò la pasqua e fece l'aspersione del sangue, perché lo sterminatore dei primogeniti non toccasse quelli degli israeliti

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ilikuwa yapata saa sita mchana, siku ya maandalio ya pasaka. pilato akawaambia wayahudi, "tazameni, mfalme wenu!"

意大利语

era la preparazione della pasqua, verso mezzogiorno. pilato disse ai giudei: «ecco il vostro re!»

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

heri ya siku yako ya kuzaliwa kipenzi changu na ,ishi miaka mingi ya furaha na mafanikio mengi, nakupenda sana

意大利语

最后更新: 2020-12-03
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ilikuwa siku mbili tu kabla ya sikukuu ya pasaka na ya mikate isiyotiwa chachu. makuhani wakuu na walimu wa sheria walikuwa wakitafuta njia ya kumtia yesu nguvuni kwa hila wamuue.

意大利语

mancavano intanto due giorni alla pasqua e agli azzimi e i sommi sacerdoti e gli scribi cercavano il modo di impadronirsi di lui con inganno, per ucciderlo

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

heri ya siku ya uhuru, tafakarini uhuru gani mlionao, unamaanisha nini kwenu, kwa kizazi hiki na vizazi vijavyo.

意大利语

felice giorno dell'indipendenza, riflettete su quale indipendenza avete raggiunto, cosa significa per voi, per questa generazione e per quelle future.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

basi, alipofika galilaya, wagalilaya wengi walimkaribisha. maana nao pia walikuwa kwenye sikukuu ya pasaka, wakayaona mambo yote yesu aliyotenda huko yerusalemu wakati wa sikukuu hiyo.

意大利语

quando però giunse in galilea, i galilei lo accolsero con gioia, poiché avevano visto tutto quello che aveva fatto a gerusalemme durante la festa; anch'essi infatti erano andati alla festa

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

siku ya kwanza ya sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, wakati ambapo mwana kondoo wa pasaka huchinjwa, wanafunzi wake walimwuliza, "wataka tukuandalie wapi karamu ya pasaka?"

意大利语

il primo giorno degli azzimi, quando si immolava la pasqua, i suoi discepoli gli dissero: «dove vuoi che andiamo a preparare perché tu possa mangiare la pasqua?»

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

ilikuwa kabla ya sikukuu ya pasaka. yesu alijua kwamba saa yake ya kuondoka ulimwenguni na kwenda kwa baba ilikuwa imefika. alikuwa amewapenda daima watu wake walioko duniani; naam, aliwapenda mpaka mwisho!

意大利语

prima della festa di pasqua gesù, sapendo che era giunta la sua ora di passare da questo mondo al padre, dopo aver amato i suoi che erano nel mondo, li amò sino alla fine

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

@babatundejnr: heri ya siku ya kuzaliwa kwa taifa la mwafrika mashuhuri julius nyerere #tanzania50. ninawatakia watu wote uhuru kutoka kwenye ufisadi na utawala mbovu #africa

意大利语

@babatundejnr: buon compleanno alla tanzania del grande julius nyerere #tanzania50.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,776,279,898 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認