您搜索了: uandishi (斯瓦希里语 - 意大利语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

Italian

信息

Swahili

uandishi

Italian

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

意大利语

信息

斯瓦希里语

uandishi si ugaidi.

意大利语

cara etiopia: il giornalismo non è terrorismo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mexico: uandishi kutoka gerezani

意大利语

messico: scrivere dal carcere

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hata hivyo, kufungwa kwake jela hakujamzuia mwanasaikologia huyu kuendeleza karama aliyonayo ya uandishi.

意大利语

ma ciò non è bastato a fermarlo nel coltivare la sua passione per la letteratura.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

edom alianza kazi yake ya uandishi wa habari akiwa na gazeti la kila siku linalomilikiwa na serikali.

意大利语

edom ha cominciato la sua carriera giornalistica sul quotidiano di stato.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hapa chini tunawaletea jinsi habari hizi zilivyopokelewa katika ulimwengu wa uandishi wa habari wa kijmii miongoni mwa wamisri.

意大利语

di seguito, i commenti e le reazioni dai social media.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

silvia higuera anatoa muhtasari wa ripoti katika uandishi wa habari wa kituo cha knight katika blogu ya amerika.

意大利语

silvia higuera riassume il contenuto del rapporto nel blog del knight center per il giornalismo nelle americhe .

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

edom ni mmoja wa waandishi wanawake wachache sana ninaowafahamu nchini ethiopia waliokuwa wanajihusisha na uandishi wa habari katika majukwaa anuai.

意大利语

edom è una delle poche giornaliste donne che conosco nel paese e che ha esercitato il giornalismo su molteplici piattaforme.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

programu hiyo tumizi hukuwezesha kuchanganya kwa usalama na kuhariri programu na elimu ya uandishi wa habari ya mpango ya kuboresha hadithi ya mkononi.

意大利语

la app combina misure di sicurezza digitale con un software per l’editing e un programma di educazione al giornalismo per migliorare le storie create attraverso supporti mobili.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

edom amejihusisha na uandishi wa habari ambao pamoja na kuwa uliambatana na kupuuzwa kwa uanaharakati wake, uanahabari wake umekuwa wa kukumbukwa na wa aina yake ya kipekee.

意大利语

edom si è dedicata simultaneamente al giornalismo e al suo sottovalutato attivismo con notevole eleganza.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hata hivyo, utaratibu wake wa kuuliza maswali ya kiudadisi haukuendana na utamaduni wa uandishi wa kuilinda serikali na ndipo alipoamua kuangalia jambo jingine la kufanya.

意大利语

ma la sua tendenza a porsi domande fondamentali era diventata incompatibile con la le regole tradizionali osservanza del giornalismo di stato e allora lei aveva deciso di intraprendere un cammino diverso.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

akifanya kazi kama mwandishi wa habari mwandamizi, alijaribu kuonesha msimamo wake kwenye uandishi habari ulio na ubora ambao vyombo vya habari vinavyomilikiwa na taifa la ethiopia havikuwahi kuuonesha.

意大利语

lavorando come inviata, ha cercato di trasmettere il suo ottimismo nei confronti del giornalismo di qualità che i mezzi statali etiopi hanno mostrato poche volte.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

raia wa sudani wanaoishi nje ya nchi hiyo walikuwa tayari kwa wale waliohitaji msaada walioko eneo la tukio kwa kuwapa maelekezo ya namna ya kutangaza maandamano hayo na matumizi ya zana za uandishi wa kiraia ikitokea mtandao wa intaneti umekatwa.

意大利语

la diaspora sudanese è stata a disposizione di coloro che necessitavano aiuto sul campo dando indicazioni su come documentare le manifestazioni e sul possibile uso dei siti di social media nel caso di un oscuramento della rete.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mijini ninaweza kusema kwamba idadi kubwa ya watu angalau wamejiunga na facebook, na kwa kupitia viunga vya facebook labda wana uwezekano wa kuunganishwa moja kwa moja na blogu/uandishi wa kuraia kuliko watu wanaoishi magharibi…

意大利语

direi invece che, nelle città, una larga percentuale di popolazione possiede un account facebook e, tramite i suoi link, ha probabilmente un accesso molto più diretto ai blog e al giornalismo partecipativo rispetto alle persone che vivono nell'occidente...

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

licha ya kuwepo majibu haya ya kimabavu dhidi ya sauti mbadala, kwa hakika, serikali haina budi kuutambua ubatili (bila kutaja matokeo ya kisiasa) wa kuendelea kubana uwepo wa fursa kwa uandishi wa habari na utoaji maoni ulio huru.

意大利语

nonostante le risposte oppressive alle voci alternative, il governo è in grado di riconoscere l'inutilità (per non menzionare le conseguenze politiche) di continuare a soffocare gli spazi per il giornalismo indipendente.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
8,027,255,063 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認