您搜索了: zawadi (斯瓦希里语 - 意大利语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

Italian

信息

Swahili

zawadi

Italian

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

意大利语

信息

斯瓦希里语

na jitengezeeni zawadi.

意大利语

allah conosce il bene che fate.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kipaji si zawadi, bali wajibu.

意大利语

il talento non è un dono, ma una responsabilità.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

lakini nyinyi mnafurahia hii zawadi yenu.

意大利语

no, siete voi che vi gloriate del vostro dono.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

lakini mimi nitawapelekea zawadi, nami nitangoja watakayo rudi nayo wajumbe.

意大利语

io gli invierò un dono e valuterò ciò che i messi riporteranno”.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mfanyakazi hulipwa mshahara; mshahara wake si zawadi bali ni haki yake.

意大利语

a chi lavora, il salario non viene calcolato come un dono, ma come debito

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa maana ninatamani sana kuwaoneni ili nipate kuwagawieni zawadi ya kiroho na kuwaimarisha.

意大利语

ho infatti un vivo desiderio di vedervi per comunicarvi qualche dono spirituale perché ne siate fortificati

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

na hakika bora ya zawadi ni uchamngu. na nicheni mimi, enyi wenye akili!

意大利语

fate provviste, ma la provvista migliore è il timor di allah, e temete me, voi che siete dotati di intelletto.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mwanariadha yeyote hawezi kushinda na kupata zawadi ya ushindi kama asipozitii sheria za michezo.

意大利语

anche nelle gare atletiche, non riceve la corona se non chi ha lottato secondo le regole

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

watu walitupatia zawadi mbalimbali na wakati tulipoanza tena safari, walitia ndani ya meli masurufu tuliyohitaji.

意大利语

ci colmarono di onori e al momento della partenza ci rifornirono di tutto il necessario

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

enrique ameshatunukiwa zawadi kadhaa za kitaifa za utungaji wa vitabu na hadi sasa ameshaandika vitabu sita vya simulizi.

意大利语

enrique è stato insignito di diversi premi nazionali e ha al suo attivo ben sei romanzi.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

yeye atawatajirisha ninyi daima kwa kila kitu, ili watu wapate kumshukuru mungu kwa ajili ya zawadi zenu wanazozipokea kwa mikono yetu.

意大利语

così sarete ricchi per ogni generosità, la quale poi farà salire a dio l'inno di ringraziamento per mezzo nostro

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kila mmoja anapaswa kutumia kipaji alichojaliwa na mungu kwa faida ya wengine, kama vile uwakili mwema wa zawadi mbalimbali za mungu.

意大利语

ciascuno viva secondo la grazia ricevuta, mettendola a servizio degli altri, come buoni amministratori di una multiforme grazia di dio

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kila kuhani mkuu huchaguliwa kutoka miongoni mwa watu kwa ajili ya kumtumikia mungu kwa niaba yao, kutolea zawadi na tambiko kwa ajili ya dhambi zao.

意大利语

ogni sommo sacerdote, preso fra gli uomini, viene costituito per il bene degli uomini nelle cose che riguardano dio, per offrire doni e sacrifici per i peccati

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

atukuzwe mungu na baba wa bwana wetu yesu kristo! maana, katika kuungana na kristo ametubariki kwa kutujalia zawadi zote za kiroho mbinguni.

意大利语

benedetto sia dio, padre del signore nostro gesù cristo, che ci ha benedetti con ogni benedizione spirituale nei cieli, in cristo

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

enyi vipofu! ni kipi kilicho cha maana zaidi: ile zawadi, au madhabahu ambayo hufanya hiyo zawadi kuwa takatifu?

意大利语

ciechi! che cosa è più grande, l'offerta o l'altare che rende sacra l'offerta

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hapa ni zawadi sahihi kabisa ya kuukaribisha mwaka mpya: kitabu-pepe kipya tulichokiandika kwa heshima yaeneo la afrika kusini mwa jangwa la sahara.

意大利语

ecco il regalo perfetto per dare il benvenuto all'anno nuovo: il nostro nuovo e-book dedicato alla regione dell'africa sub-sahariana .

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wakati walipokutana pamoja aliwaamuru hivi: "msiondoke yerusalemu, bali ngojeeni ile zawadi aliyoahidi baba, zawadi ambayo mlikwisha nisikia nikiongea juu yake.

意大利语

mentre si trovava a tavola con essi, ordinò loro di non allontanarsi da gerusalemme, ma di attendere che si adempisse la promessa del padre «quella, disse, che voi avete udito da me

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

kwa hiyo, nimeona ni lazima kuwaomba hawa ndugu watutangulie kuja kwenu, wapate kuweka tayari zawadi yenu kubwa mliyoahidi; nayo ionyeshe kweli kwamba ni zawadi iliyotolewa kwa hiari na si kwa kulazimishwa.

意大利语

ho quindi ritenuto necessario invitare i fratelli a recarsi da voi prima di me, per organizzare la vostra offerta gia promessa, perché essa sia pronta come una vera offerta e non come una spilorceria

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

miezi miwili kabla ya safari yangu ya kwenda marekani kwa ajili ya masomo ya uzamivu, edom alikuwa na safari ya tunisia, na aliporudi, aliniletea zawadi ya kishikio cha funguo kilichokuwa na mfano wa mchikichi ambao huaminiwa kutoa ulinzi dhidi ya mabaya.

意大利语

due mesi prima che partissi per venire in europa per i miei studi specialistici, edon aveva viaggiato a tunez ed al suo ritorno mi aveva portato un portachiavi a forma di mano, che secondo la tradizione popolare serve a proteggere contro il male.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wala si hivyo viumbe peke yake, bali hata sisi tulio na huyo roho, aliye wa kwanza wa zawadi za mungu; sisi pia tunalalamika ndani yetu, tukitazamia kufanywa watoto wa mungu, nazo nafsi zenu zikombolewe.

意大利语

essa non è la sola, ma anche noi, che possediamo le primizie dello spirito, gemiamo interiormente aspettando l'adozione a figli, la redenzione del nostro corpo

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,794,076,954 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認