来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
mungu awajalieni nguvu kwa uwezo wake mtukufu ili mweze kustahimili kila kitu kwa uvumilivu.
in omni virtute confortati secundum potentiam claritatis eius in omni patientia et longanimitate cum gaudi
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
kwa sababu mimi mwenyewe nitawapeni ufasaha wa maneno na hekima, hivyo kwamba zenu hawataweza kustahimili wala kupinga.
ego enim dabo vobis os et sapientiam cui non poterunt resistere et contradicere omnes adversarii vestr
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
ndio maana sisi tunajivunia ninyi katika makanisa ya mungu. tunaona fahari juu ya jinsi mnavyoendelea kuamini na kustahimili katika udhalimu wote na mateso mnayopata.
ita ut et nos ipsi in vobis gloriemur in ecclesiis dei pro patientia vestra et fide in omnibus persecutionibus vestris et tribulationibus quas sustineti
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
ikiwa tunapata taabu, basi ni kwa ajili ya faraja na wokovu wenu. tukifarijika, ni kwa ajili ya kuwafariji ninyi na kuwaunga mkono mpate nguvu ya kustahimili mateso yaleyale tunayoteseka sisi.
sive autem tribulamur pro vestra exhortatione et salute sive exhortamur pro vestra exhortatione quae operatur in tolerantia earundem passionum quas et nos patimu
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
majaribu mliyokwisha pata ni ya kawaida kwa binadamu. mungu ni mwaminifu, naye hataruhusu mjaribiwe kupita nguvu zenu, ila pamoja na majaribu, yeye atawapeni pia nguvu ya kustahimili na njia ya kutoka humo salama.
temptatio vos non adprehendat nisi humana fidelis autem deus qui non patietur vos temptari super id quod potestis sed faciet cum temptatione etiam proventum ut possitis sustiner
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
mimi ni yohane, ndugu yenu; na kwa kuungana na kristo nashiriki pamoja nanyi katika kustahimili mateso yanayowapata wale walio wa utawala wake. mimi nilikuwa kisiwani patmo kwa sababu ya kuhubiri ujumbe wa mungu na ukweli wa yesu.
ego iohannes frater vester et particeps in tribulatione et regno et patientia in iesu fui in insula quae appellatur patmos propter verbum dei et testimonium ies
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量: