您搜索了: jangwa (斯瓦希里语 - 法语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

法语

信息

斯瓦希里语

jangwa

法语

desert

最后更新: 2013-09-02
使用频率: 2
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

amerika ya kati: kasi kubwa ya ueneaji wa jangwa

法语

amérique latine: la désertification avance à grands pas

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

ueneaji jangwa unazidi kuwa na athari mahali pote duniani.

法语

la désertification fait des ravages partout dans le monde.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

israel - "waafrika wa kusini mwa jangwa la sahara si wabakaji"

法语

israël - "les africains subsahariens ne sont pas des violeurs"

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

iangalie kwa makini ili baade uweze kuitambua vizuri endapo siku moja utasafiri katika jangwa hili.

法语

regardez attentivement ce paysage afin d'être sûr de le reconnaitre, si vous voyagez un jour en afrique, dans le désert.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

huu ni ujumbe ambao watafuta hifadhi kutoka eneo la kusini mwa jangwa la sahara wanataka usikike nchini israeli.

法语

tel est le message que veulent faire passer des demandeurs d'asile africains subsahariens en israël.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

ukuaji wa uchumi kusini mwa jangwa la sahara unabaki kuwa imara huku ukuaji ukitabiriwa kufikia asilimia 4.9 mwa 2013.

法语

la croissance économique en afrique subsaharienne demeure solide et devrait atteindre 4,9 % pour 2013, selon les prévisions.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

wakati huohuo ueneaji jangwa nao huchangia katika mabadiliko ya hali ya hewa kwa kuruhusu kaboni iliyohifadhiwa kwenye mimea ya maeneo yenye ukame na udongo kurushwa kwenye anga.

法语

la désertification contribue également au réchauffement climatique en libérant vers l'atmosphère le gaz carbonique retenu par la végétation et les sols des pays concernés.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

hapana, haya ni maandamano kupigania usawa zaidi katika eneo la afrika iliyo kusini mwa jangwa la sahara, kama ilvyotokea hivi karibuni nchini burkina faso.

法语

non, ceux sont les manifestants pour plus d'égalité en afrique subsaharienne, le plus récemment au burkina faso.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

mnamo tarehe 30 0ctoba, watu 87 waliokuwa wakijaribu kuifikia bahari ya mediterania walifariki mara baada ya madereva waliokuwa wakiendesha magari waliyoyatumia kusafiria kuwatelekeza wahamiaji hao katika jangwa la sahara.

法语

le 30 octobre, 87 personnes qui tentaient d'atteindre la méditerranée sont morts après avoir été abandonnés en plein sahara par leurs convoyeurs partis chercher des secours.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

"mtoto mdogo wa mfalme amerejea: kinacholifanya jangwa kuvutia ni kuwa kuna sehemu katika jangwa hili kuna chemmchem. picha na pierre destruel.

法语

"le petit prince est de retour: ce qui embellit le désert, c'est qu'il cache un puits quelque part" - photo composition par pierre destruel

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

na kama ukiingiza na nchi ambazo zimewahi kuwa na zaidi ya tukio moja la marais waliolazimishwa na katiba kuachia madaraka na wakafanya hivyo, hali inaonekana kuwa nzuri kwa kuwa na ukomo wa madaraka katika eneo la kusini mwa jangwa la sahara.

法语

et si vous ajoutez à cela les pays qui ont connu plus d'un épisode de présidents limités dans leur mandat qui quittent leurs fonctions, soudain les probabilités paraissent bonnes d'une consolidation de la norme des limitations de mandat en afrique sub-saharienne.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

jumuia ya global voices, na hususani timu ya ukanda wa chini wa jangwa la sahara, umekuwa ukifanya juhudi za hali na mali kwa muda wa kipindi cha miezi 12 iliyopita ili ulimwengu ufahamu kesi yao pamoja na kusherehekea machango wao katika jukwaa la mtandaoni.

法语

la communauté de global voices, et l'équipe afrique subsaharienne en particulier, a travaillé dur au cours des douze derniers mois pour attirer l'attention sur leur cas et pour célébrer leurs contributions au discours en ligne.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

kama kuna chochote kinaweza kuliangusha kombe la dunia la 2010, na kuwa ushahidi wa kila kisichofaa katika afrika nyeusi (kusini mwa jangwa la sahara), yatakuwa haya mavuvuzela.

法语

si quelque chose gâche la coupe du monde 2010 en devenant le symbole de ce qui ne marche pas en afrique subsaharienne ce sera cette maudite vuvuzela.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

hii itakuwa ni ziara yake ya kwanza ya kihistoria kwenye nchi za kusini mwa jangwa la sahara na atatumia nyenzo kama twita, facebook na ujumbe mfupi wa simu za kiganjani (sms) kuzungumza moja kwa moja kwa moja na waafrika.

法语

ce sera son premier voyage historique en afrique subsaharienne et il utilisera des outils comme twitter, facebook et sms pour parler directement aux africains.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

kama ilivyosemwa katika utangulizi wa kitabu-pepe kicho, "katika mwanzo wa mileniam mpya, ilionekana kama bara la afrika lilikuwa limeachwa na jumuiya ya kimataifa.... takwimu za hivi karibuni zinaonyesha kuwa uchumi wa nchi nane unaokua kwa kasi zaidi duniani uko katika eneo la kusini mwa jangwa la sahara."

法语

comme indiqué dans l'introduction du livre électronique, "au début du nouveau millénaire, le continent africain semblait avoir été essentiellement oublié par la communauté internationale ... les statistiques récentes indiquent que neuf des économies à plus forte croissance dans le monde se trouvent en afrique subsaharienne."

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia
警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,787,539,740 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認