您搜索了: jumatatu (斯瓦希里语 - 法语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

法语

信息

斯瓦希里语

jumatatu

法语

lundi

最后更新: 2012-04-21
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

ilipofika jumatatu theluji ilikuwa imekwishayeyuka.

法语

le lundi, la neige avait fondu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

la guadeloupe en colère anaelezea matukio ya jumatatu:

法语

la guadeloupe en colère écrivait mardi :

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

aldi pia ilizindua kikomo cha kifurushi kimoja, siku ya jumatatu.

法语

lundi, aldi a également introduit une limite d’un paquet.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

mashitaka hayo yalianza siku ya jumamosi na kukamilika siku ya jumatatu.

法语

le procès a commencé samedi et s'est terminé lundi.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

au habari za kifo cha jfk zisitanagzwe mpaka siku ya jumatatu inayofuata ya novemba 25, 1963?

法语

ou l'annonce de l'assassinat de jfk attendre le lundi suivant, le 25 novembre 1963 ?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

tulipokuwa mjini jumatatu na kuona vitu vinavyotupwa kwenye magari ya mizigo, nilichefuka mpaka tumboni.

法语

quand nous étions en ville lundi et que nous avons vu jeter les trucs dans les camions, ça m'a donné la nausée.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

kampuni ya soccerid iliarifu siku ya jumatatu kuwa itaingiza ulaya mapembe haya yaliyosababishwa utata huko afrika kusini.

法语

lundi, la société soccerid a indiqué qu’elle importait la trompette sud-africaine controversée en europe.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

mlipuko unaodhaniwa kuwa ni bomu umesababisha madhara katika moja ya barabara kuu za nairobi, moi avenue, katika mji mkuu huo wa kenya mchana wa jumatatu.

法语

une explosion a secoué l'une des artères principales de nairobi, moi avenue, dans la capitale kenyane, le lundi 28 mai après-midi.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

lakini vyombo vya habari vya afrika magharibi, ukiacha vichache, vimekuwa vikipotea kuanzia siku ya ijumaa mchana, na kuzinduka muda wowote siku za jumatatu.

法语

mais les médias ouest-africains, à peu d'exceptions prés, entrent en hibernation le vendredi après-midi et ressuscitent à un moment donné le lundi matin suivant.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

wanablogu waishio ethiopia wameharakia kuitetea rekodi ya usalama wa safari za ndege za nchi hiyo siku ya jumatatu baada ya ndege moja kuanguka karibu na beirut, ikihofiwa kupoteza maisha ya watu wote 90 waliokuwepo.

法语

des blogueurs qui vivent en Éthiopie ont pris la défense de la ligne aérienne nationale éthiopienne après le crash qui a eu lieu lundi 25 janvier : l'un de ses avions a disparu près de beyrouth, faisant 90 disparus.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

katika tovuti ya uandishi wa kiraia, agoravox, illiouchine, metropolitanin , anaelezea hali ilivyokuwa katika guadeloupe mwishoni mwa juma na utulivu uliofuatia baada ya ghasia za usiku wa jumatatu.

法语

voici les réactions de quelques blogueurs depuis lundi. sur agoravox, illiouchine, un métropolitain, décrivait la guadeloupe le week-end dernier, et le calme qui a suivi les violences de la nuit de lundi.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

katika video iliotolewa jumatatu, agosti 12, timu ya soka ya grêmio of porto alegre ilileta pamoja baadhi ya wachezaji muhimu kwenye orodha ya majina yake, weupe na weusi, kwa majadiliano juu ya ubaguzi wa rangi.

法语

dans une vidéo présentée le 12 août l'équipe de foot grêmio of porto alegre a rassemblé certains des joueurs les plus célèbres de son équipe, blancs et noirs, pour parler du racisme.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

kwa mujibu wa magazeti ya uganda, ghasia katika chuo kikuu cha makerere, chuo kikuu kikubwa zaidi nchini uganda, zilianza baada ya wanafunzi wawili kupigwa risasi na mmoja kujeruhiwa vibaya na mlinzi wa usalama usiku wa jumatatu wakati wa mkutano kuhusu uchaguzi wa wanafunzi.

法语

selon la presse ougandaise, les émeutes à l'université makerere, la plus grande d'ouganda, ont commencé après que deux étudiants ont été tués par balles et un autre grièvement blessé par un vigile lundi soir pendant une réunion sur les élections corporatistes étudiantes en cours.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

baada ya wiki za maandamano ya amani katika idara za ng'ambo za ufaransa za guadeloupe na martinique, mambo yaligeuka na kuwa ghasia siku ya jumatatu, polisi na waandamanaji walipambana katika jiji kubwa la guadeloupe, pointe-a-pitre.

法语

après des semaines de manifestations largement pacifiques dans les départements d'outre-mer de la guadeloupe et de la martinique, un délégué syndical a été tué par balle à pointe-à-pitre mercredi 18 février, après une deuxième nuit de violences en guadeloupe. la situation s'est dégradée lundi, quand les manifestants et les forces de police se sont affrontés à pointe-à-pitre, préfecture de la guadeloupe.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

获取更好的翻译,从
7,792,267,134 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認