您搜索了: kufungua (斯瓦希里语 - 法语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

French

信息

Swahili

kufungua

French

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

法语

信息

斯瓦希里语

kufungua maombi:jumatano, machi 12, 2014

法语

dépôt des candidatures : à partir du mercredi 12 mars 2014

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

biashara zinahitaji kibali cha serikali ya mitaa ili kufungua tena

法语

entreprises nécessitant l'autorisation du gouvernement local pour rouvrir

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa sasa, raia wa mtandaoni wa iran wanajadili kama rouhani ataweza kufungua kila kufuli.

法语

actuellement les internautes iraniens se demandent si rouhani sera effectivement capable d'ouvrir des verrous.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hakika mwenyezi mungu kakupeni sharia ya kufungua viapo vyenu, na mwenyezi mungu ni mola wenu.

法语

allah vous a prescrit certes, de vous libérer de vos serments.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wakati unatumia choo, tumia taulo za karatasi kuzima mfereji na kufungua mlango, kisha uzitupe.

法语

aux toilettes, utilisez les serviettes en papier pour fermer le robinet et ouvrir la porte, puis jetez-les.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kisa kikipatikana, athari kwa huduma imekuwa kufungwa kwa siku nzima kwa ajili ya usafi wa kina kisha kufungua tena.

法语

la détection d’un cas entraîne la fermeture des cabinets sur la journée pour un nettoyage en profondeur puis leur réouverture le jour suivant.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tushukuru kuwa, sony mtu alikuwa akisaidiwa na jumuiya ya mtandaoni na shirika la sony hatimaye liliona kuwa ni ujinga kufungua kesi.

法语

heureusement, la communauté des internautes à pris la défense de sony (la personne) et sony (le groupe) a pris conscience du ridicule qu'il y avait à maintenir ses poursuites.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

alionekana tena kidogo wakati wa kufungua mkutano wa bunge wa 2014-2015, ambapo alishindwa kusoma hotuba iliyoandaliwa.

法语

il est brièvement réapparu à l'ouverture officielle de la session parlementaire 2014-2015, où il n'a pas lu le discours préparé.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

saa moja kabla ya bunge kupiga kura ya kuniondoa, ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali iliamua kufungua mashitaka ya jinai dhidi yangu kwa kuzembea kazini.

法语

juste une heure avant que l'assemblée législative nationale ne vote ma mise en accusation, le bureau du procureur général décide de poursuites pénales à mon encontre pour négligence.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baada ya kupangusa, tishu hizi zinafaa kutumiwa kufunga maji (na kufungua mlango wowote wa kutoka nje kama inatakikana).

法语

après le séchage, la serviette en papier doit être utilisée pour fermer le robinet (et ouvrir la porte de sortie le cas échéant).

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baada ya kitu kama dakika tano hivi za vurugu, waendesha magari wachache wanaweza kuendesha magari yao ili kurudi nyumbani baada ya kuwaamuru walinzi kufungua lango lenye urefu wa futi 15.

法语

après cinq minutes de torpeur, les quelques automobilistes en mesure de reprendre le chemin de la maison forcent les gardiens à ouvrir la barrière haute de 15 pieds.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa wataalamu wengi wa kiuchumi, suluhisho la kiradikali zaidi la kupunguza umaskini kwa haraka duniani ni, kufungua mipaka kati ya nchi na kuruhusu wafanyakazi kuhamia sehemu ambazo nguvukazi inahitajika zaidi.

法语

la solution la plus radicale pour réduire de manière drastique la pauvreté dans le monde serait pour beaucoup d'experts économiques d'ouvrir les frontières entre les pays et laisser les travailleurs emigrés librement là où le besoin en main d'oeuvre est le plus prégnant.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

jukwaa linalokusanya video kadri zinavyowekwa mtandaoni linaloitwa ustream linalota fursa ya kujiandikisha kufungua anuania mpya na pia kuzitangaza kwa ajili ya kuzitumia video hizo kwa ajili ya habari zinazotokea, uanaharakati na hata kwa matumizi ya mengine ya faida kwa jamii.

法语

la plateforme de vidéo en stream ustream offre aux citoyens journalistes la possiblité de souscrire un abonnement pro gratuit ainsi que des publicités gratuites pour tout usage innovant de la vidéo dans la diffusion d'actualités, l'activisme, et les initiatives sociales.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

sikiliza! mimi nasimama mlangoni na kubisha hodi. mtu akisikia sauti yangu na kufungua mlango, nitaingia nyumbani kwake na kula chakula pamoja naye, naye atakula pamoja nami.

法语

voici, je me tiens à la porte, et je frappe. si quelqu`un entend ma voix et ouvre la porte, j`entrerai chez lui, je souperai avec lui, et lui avec moi.

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

(tukio hili) linaonekana kuwa jema kwetu kwa sababu nyingi (...): umuhimu wa kusoma, uzuri wa kutoa, furaha ya kuachia ulicho nacho na kutokuwa na uhakika wa kujua na kuamini; kuhamasisha ushirikiano na moyo wa kushirikiana kijamii na kiutamaduni, kufungua moyo wako na kuvuka mipaka.

法语

(l'événement) nous semble bon pour plusieurs raisons (...): l'importance de la lecture, la beauté du don, l’enthousiasme de diffuser, et la surprise, de ne pas savoir et ne pas y croire ; la promotion de la solidarité et l'esprit de partage social et culturel, l'ouverture de votre cœur et le franchissement des frontières.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,780,979,232 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認