您搜索了: ridhaa (斯瓦希里语 - 法语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

French

信息

Swahili

ridhaa

French

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

法语

信息

斯瓦希里语

huu si ubakaji, ni ngono ya ridhaa.

法语

ce n'est pas du viol, c'est du sexe sensuel.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

katika hali hapo juu ridhaa ya mahakama ya syariah ilipatikana.

法语

dans cette situation, le consentement de la cour de la charia a été obtenu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ikiwa mahakimu wangetia shaka, ridhaa ya namna hiyo isingetolewa.

法语

si le juge en avait douté, il n'y aurait pas consenti.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

: mwandishi wa kiraia atishiwa kufuatia video aliyotumiwa pasipo ridhaa yake

法语

colombie : un vidéaste menacé pour une vidéo virale

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wengi wa wakimbizi hawa vijana wanaarifiwa kuwa chini ya umri unaotakikana na wamechukuliwa bila ridhaa ya wazazi wao.

法语

plusieurs de ces jeunes réfugiés seraient des mineurs engagés sans le consentement de leurs parents.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kuna video zilizotengenezwa wakati wa tetemeko lenyewe, kama vile video hii ya ridhaa iliyokutwa kwenye youtube.

法语

certains ont pu capturer en images la catastrophe comme le montre cette vidéo amateur mise en ligne sur youtube.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

na ina maana kwamba tunapaswa kuwa na imani katika mahakimu wa syariah – ni lazima walizingatia mazingira yote kabla ya kutoa ridhaa.

法语

cela signifie que l'on devrait avoir confiance en nos juges – ils ont dû prendre en compte toutes les circonstances avant d'accorder leur permission.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kutuma ujumbe mfupi wa maneno kwa mtu pasipo kupata ridhaa yake ni jambo linalotazamwa kama ukiukwaji wa haki za faragha za wateja, alieleza mtetezi wa haki za walaji saree ongsomwang.

法语

envoyer un sms à un individu sans son consentement est considéré comme une violation de la vie privée des consommateurs, selon la spécialiste des droits des consommateurs saree ongsomwang .

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kampeni ya kukomesha chanjo kwa kulazimishwa nchini namibia imezinduliwa: “ umoja wa asasi za kijamii umetoa wito kwa wanamibia wote kujiunga na kampeni ya kulaani chanjo kwa wanawake waishio na vvu bila ya ridhaa yao.

法语

une campagne a été lancée afin de mettre fin à la stérilisation forcée en namibie : “un groupement d'associations de la société civile a lancé un appel pour que les namibiens rejoignent cette campagne qui condamne la stérilisation des femmes atteintes du vih, sans qu'elles aient donné officiellement leur consentement.”

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

saree, ambaye ni mmoja wa wajumbe wa kamati ya taasisi ya utetezi wa walaji katika mawasiliano ya simu, aliongeza kwamba sheria inayosimamia mawasiliano ya simu nchini thailand, kampuni zinazotoa huduma ya simu za mkononi haziruhusiwa kuweka hadharani orodha ya wateja wao pasipo kwanza kupata ridhaa yao.

法语

saree, qui fait aussi partie du comité de l’institut pour la protection des consommateurs de télécommunication, ajoute que selon la loi sur les télécommunications thaïlandaise, les opérateurs de téléphonie mobile n’ont pas le droit de fournir une liste où figure les noms des abonnés sans leur approbation.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mnamo aprili 1, 2015, bunge la tanzania iipitisha muswada wa makosa ya mtandao unaojaribu kudhibiti picha za ngono kwa watoto, udhalilishaji wa mtandaoni, utengenezaji wa maudhui yenye mrengo wa ubaguzi wa rangi au chuki kwa wageni, kutuma ujumbe kwa mtu bila ridhaa yake, udukuzi wa mawasiliano na kuchapisha taarifa za uongo –vyote hivyo katika sheria moja.

法语

le 1er avril 2015, le parlement tanzanien a adopté une loi sur la cybercriminalité qui vise à lutter contre la pédopornographie, la cyber-intimidation, l'usurpation d'identité en ligne, la production électronique de contenus racistes et xénophobes, des messages non sollicités (c-à-d des spams), l'interception illégale de communications et la publication de fausses informations - le tout dans une seule loi.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,794,793,541 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認