您搜索了: alitokea (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

alitokea

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

kadhalika alitokea kwenye kipindi cha televisheni cha vijana.

英语

she also appeared in a teen-oriented tv show.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

siku hizo yohane mbatizaji alitokea, akaanza kuhubiri katika jangwa la yudea:

英语

in those days came john the baptist, preaching in the wilderness of judaea,

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa mujibu wa taarifa kutoka 163.com ni kwamba yang alitokea katika familia ya mzazi mmoja.

英语

according to report from 163.com, yang came from a single parent family.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

yohane mbatizaji alitokea jangwani, akahubiri kwamba ni lazima watu watubu na kubatizwa ili mungu awasamehe dhambi zao.

英语

john did baptize in the wilderness, and preach the baptism of repentance for the remission of sins.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kuna nadharia nyingi kuhusu mahali kisa cha kwanza (inayojulikana kama mgonjwa wa kwanza) huenda alitokea.

英语

there are various theories about where the very first case (the so-called patient zero) may have originated.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wapo wanaodhani kwamba derakshan, ambaye katika miaka ya karibuni alitokea kuwa mwungaji mkono wa serikali ya rais ahmedinejad, alikamatwa kwa sababu aliwakashifu viongozi wa kidini nchini humu.

英语

some speculate that derakhshan, who in recent years became a supporter of president ahmadinejad’s government, was arrested because he insulted some religious leaders in the country.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wapakistani wema wanaweka saini makubaliano haya ya kuishinikiza serikali kuingilia kati jambo hili kwa sababu serikali ya pakistani imeshindwa hata kumlinda mtawala wao mwenyewe ambaye alitokea kupinga hadharani sheria katili ya kukashifu dini ambapo mtuhumiwa anayekashifu dini atalazimika kufungwa jela na na pia hata mtuhumiwa kunyongwa.

英语

pakistanis of good conscious are signing this petition because the state of pakistan even failed to protect their own governor who spoke out against the draconian blasphemy law, where mere accusation of blasphemy will ensure jail and perhaps worse for the accused.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tena, baadaye, wakati ule wa kuhesabiwa watu, alitokea yuda wa galilaya. huyu naye, aliwavuta watu wakamfuata; lakini naye pia aliuawa, na wafuasi wake wakatawanyika.

英语

after this man rose up judas of galilee in the days of the taxing, and drew away much people after him: he also perished; and all, even as many as obeyed him, were dispersed.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hanani alitokea nablus kwa asili na alihamishiwa gaza kama mmoja wa wafungwa walioachiwa huru katika mpango wa kubadilishana wafungwa miezi michache iliyopita. katika kujibu mashambulizi, vikundi vya ulinzi vya ki-palestina vilivyo kwenye ukanda wa gaza vililipua mabomu kuelekea israel, bila kudhuru mtu yeyote.

英语

hanani was originally from nablus and was deported to gaza as one of the prisoners freed in the prisoner swap deal a few months ago.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,745,782,075 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認