您搜索了: amejikunja kwenye pembe ya chumba (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

amejikunja kwenye pembe ya chumba

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

pembe ya kulungu

英语

antler

最后更新: 2012-06-05
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

unaweza nionyeshe njia ya chumba

英语

can you show me the way to the room

最后更新: 2016-02-11
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

naomba ella niweze kumsaidia rafiki yangu pesa ya kulipa kodi ya chumba

英语

naomba ella niweze kumsaidia rafiki angu pesa ya kulipa kodi ya chumba

最后更新: 2022-06-15
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

habari hizo ziliamsha maoni mengi na hata maswali zaidi kutoka kila pembe ya afrika kusini.

英语

the saga elicited many opinions and even further questions from all corners of south africa.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

nilikuwa na sababu ya kuamini kwamba familia yangu ingekuwa na nafasi zaidi ya chumba kimoja pale nyumbani kama ningewekwa ndani.

英语

i had some ground to believe that my family would have more room space at home if i were ever jailed.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

wakati huo huo, kwenye pembe za kongamano la dunia la kublogu mjini bucharest, romania, global voices online ilifanya mahojiano yaliyoshindikana na parvana persiani, mjumbe wa heshima wa bodi ya ol!

英语

meanwhile, on the sidelines of the world blogging forum in bucharest, romania, global voices online held a first aborted interview with parvana persiani, an executive board member of the ol!

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kituo pia kinafanya kazi na mashirika makubwa ya kimataifa ya habari kwa ushirikiano, kuzalisha na kujazia habari na taarifa kuhusu somalia na eneo lote la pembe ya afrika.

英语

the centre also works with high profile international media organizations in commissioning, producing and filing stories and reports about somalia and the horn of africa region.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

wakati huo wa siku tatu baadhi ya walinzi walikuwa ndani ya chumba, lakini muda mwingi, wakati wauguzi walipowaomba kukaa nje ya mlango, walitii.

英语

during the three days some of the guards stayed in the room, but most of the time, when the nurses asked them to sit outside the door, they complied.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

rais wa sudan kusini, salva kiir mayardit, nje ya chumba cha baraza la usalama, kwenye makao makuu ya umoja wa mataifa, mjini new york.

英语

president of south sudan salva kiir mayardit outside the security council chamber, at un headquarters in new york.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

serikali ya somalia inayoungwa mkono na umoja wa mataifa imewaandikisha zadi ya vijana 170 wa kikenya na wanamgambo wa zamani ili wakasaidie kupigana na waasi katika nchi iliyoshindwa ya pembe ya afrika, viongozi walio katika maeneo ya mashariki ya kenya wamesema.

英语

somalia's u.n.-backed government has recruited more than 170 young kenyans and former servicemen to help it fight rebels in the failed horn of africa state, local leaders in eastern kenya said.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mwezi desemba mwaka 2008, wanafunzi 20 walishinda vigezo vikubwa na kufuzu kutoka chuo cha uganga huko mogadishu – kundi la kwanza kufanya hivyo katika takriban miongo miwili ndani ya nchi iliyoshindwa katika pembe ya afrika.

英语

in december 2008, 20 somali students overcame huge odds and graduated from medical school in mogadishu—the first batch to do so for almost two decades in the failed horn of africa state.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kuna uongo wa ajabu unasambazwa kupitia wikipedia (asante karooboy kwa kuuonyesha) kwamba asili ya vuvuzela imetokana na “pembe ya kudu” ambalo lilikuwa likipulizwa na weusi.

英语

incredibly, the ridiculous lie is now being spread via wikipedia (thanks karooboy for pointing out) that the origin of the vuvuzela is actually based on a “kudu horn” that the blacks used to blow.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ingawa kifo cha dikteta huyo katili zaidi duniani ni tukio ambalo raia wengi wa korea kusini wangelifurahia, wengi wameonyesha mashaka kwa kuwa tukio hilo lilimaanisha kuanza kwa hali tete ya usalama inayoweza kusababishwa na kifo hicho katika pembe ya bahari (peninsula) ya korea.

英语

although the death of one of the world's most notorious dictators is something people might welcome, most south koreans have expressed concern about the instability his sudden death might bring to korean peninsula.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

halafu fuaatilia na mapigo makali ya taarifa rasmi za kutangaza habari juu ya jinsi pembe-ya-kudu ulivyokuwa ikitumika zama za kale kupiga mbiu za kuitawanakijiji mkutanoni, vikundi vya wakristo vikidai kuwa hiyo ni sehemu ya ibada zao takatifu na tunaishia na mechi za soka ambazo zinaweza kuangaliwa kwenye televisheni pale tu sauti ikiwa imeminywa.

英语

you then follow it up with a barrage of press releases about the kudu horn being used in ancient times to summon villagers to meetings, christian cults claiming it as part of their sacred rituals and we get stuck with football games that can only be watched on tv with the mute button firmly on.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,728,775,668 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認