您搜索了: asidi (斯瓦希里语 - 英语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

asidi

英语

acid

最后更新: 2013-03-16
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

asidi kali

英语

strong base

最后更新: 2021-06-15
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

asidi reflux

英语

acid reflux

最后更新: 2020-06-20
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kimeng'enya hiki ni muhimu kwa seli enyeji ili kutoa asidi ya ribonucleic ya virusi hivyo.

英语

this enzyme is essential to the host cell to reproduce the ribonucleic acid of the virus.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

fda imeidhinisha kipimo kinachotumia teknolojia ya uzalishaji ya asidi ya kinyuklia inayotegemea kipimo thabiti cha nyuzi joto badala ya pcr.

英语

the fda has approved a test that uses isothermal nucleic acid amplification technology instead of pcr.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

katika februari 2020, watafiti wachina waligundua kuwa kuna tofauti moja tu ya asidi amino katika sehemu fulani ya utaratibu wa chembe kati ya virusi hivi kutoka kakakuona na vile kutoka binadamu.

英语

in february 2020, chinese researchers found that there is only one amino acid difference in certain parts of the genome sequences between the viruses from pangolins and those from humans.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

hakika, ni mabaki 6 ya asidi amino pekee ndiyo yalipatikana kuwa tofauti kutoka kwa virusi vilivyotengwa kutoka kwa binadamu na ngawa kwenye rbd na 4 kati yazo ziko katika sehemu ya kuunganisha vipokezi kwa ajili ya miingiliano na kipokezi cha ace2.

英语

in fact, only 6 amino acid residues were observed to be different from human and civet viral isolates in the rbd and 4 of them locate in the receptor-binding motif for interaction with the ace2 receptor.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

katika sars-cov, rbd ndiyo asidi amino ya 318 na ya 510 katika kipande cha s1, ambayo hunata ace2 ya kibinadamu pamoja na vipokezi vikuu kwa ajili ya kuingia kwa virusi.

英语

in sars-cov, the rbd is in the 318th to 510th amino acids on the s1 fragment, which binds to the human ace2 as well as its coreceptors for viral entry.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

marekebisho haya kulingana na watafiti yaliendeleza kazi ya kutafuta kifurushi bora cha kugundua asidi ya nyuklea kwa ajili ya upimaji haraka, pamoja na sampuli kutoka kwa njia ya pumu ikiwa ni pamoja na sampuli wa damu, ambayo iliongeza upatikanji wa sampuli tofauti na kusaidia kuletwa kwa matokeo chanya ya antibodi mahususi katika utaratibu uliothibitishwa.

英语

these modifications based on the researchers continued work that to search for an optimal nucleic acid detection kit for rapid diagnosis, as well as the samples from respiratory tract including blood sampling, which increased the availability of different specimens, and supported bringing the specific antibody positive result into the confirmed criteria.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

asidi za kiini cha chembe (dna na rna) (mkuzaji wa awamu ya i na chanjo kilichoteuliwa: moderna, mrna-1273)

英语

nucleic acid (dna and rna) (phase i developer and vaccine candidate: moderna, mrna-1273)

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

historia ya kiepidimiolojia: (1) historia ya kusafiri au kuishi jijini wuhan na maeneo ya karibu au jamii zingine ambapo visa vya covid-19 vimeripotiwa katika siku 14 zilizopita kabla ya kuanza kwa dalili; (2) historia ya kugusana na visa vya maambukizi ya sars-cov-2 (kwa vipimo chanya vya asidi ya nyuklea); (3)historia ya kugusana na wagonjwa walio na dalili za joto jingi au pumu kutoka jiji la wuhan na maeneo ya karibu au jamii zingine ambapo covid-19 iliripotiwa katika siku 14 zilizopita kabla ya kuanza kwa dalili; (4) historia ya kugusana na mkusanyiko wa visa viliyothibitishwa (visa 2 au zaidi vya joto jingi mwili na/au dalili za pumu zilizotokea ndani ya wiki 2 katika maeneo madogo, kama vile nyumbani, ofisi, darasa shuleni. n.k).

英语

epidemiological history: (1) a history of travel or residence in wuhan city and surrounding areas, or other communities where covid-19 cases had been reported in the last 14 days before symptom onset; (2) a history of contact with sars-cov-2 infectious cases (with positive nucleic acid test); (3) a history of contacting with patients with fever or respiratory symptoms from wuhan city and surrounding areas, or other communities where covid-19 had been reported in the last 14 days before symptom onset; (4) a history of contacting with cluster of confirmed cases (≥ 2 cases with fever and/or respiratory symptoms occurred within 2 weeks in small areas, such as home, office, class of school, etc).

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,747,786,360 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認