您搜索了: asiyeamini (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

asiyeamini

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

kristo anawezaje kupatana na shetani? muumini ana uhusiano gani na asiyeamini?

英语

and what concord hath christ with belial? or what part hath he that believeth with an infidel?

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

basi ndugu, jihadharini asije akawako yeyote miongoni mwenu aliye na moyo mbaya hivyo na asiyeamini hata kujitenga na mungu aliye hai.

英语

take heed, brethren, lest there be in any of you an evil heart of unbelief, in departing from the living god.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mohiuddin, aliyejitangaza hadharani kuwa ni mtu asiyeamini mungu, amekuwa akizungumzia harakati za shahbag na aliandika kupinga dini na siasa za udini.

英语

mohiuddin, a self proclaimed atheist, has been vocal for the shahbag movement and wrote against religion and religious politics.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

lakini kama mtu hawatunzi watu wa jamaa yake, hasa wale wa nyumbani kwake, basi, mtu huyo ameikana imani, na ni mbaya zaidi kuliko mtu asiyeamini.

英语

but if any provide not for his own, and specially for those of his own house, he hath denied the faith, and is worse than an infidel.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

lakini, wote wakiwa wanautangaza ujumbe wa mungu, akija mtu wa kawaida au asiyeamini, yote atakayosikia yatamhakikishia ubaya wake mwenyewe; yote atakayosikia yatamhukumu.

英语

but if all prophesy, and there come in one that believeth not, or one unlearned, he is convinced of all, he is judged of all:

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

aliandika kuhusu jinsi walivyosherehekea sikukuu ya noeli kama familia pamoja na mtoto wao, hapo anaeleza jinsi mara nyingine inavyomwia vigumu kujaribu kuelewa maoni ya mkewe kama mtu asiyeamini katika mungu huku akishikilia matambiko fulani ya kiutamaduni ya kichina.

英语

writing about the way they celebrated christmas as family with their son, he finds himself in a fix trying to make sense of his wife's atheist views and belief in traditional chinese rituals.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa maana huyo mume asiyeamini hupokelewa kwa mungu kwa kuungana na mkewe; na huyo mke asiyeamini hupokelewa kwa mungu kwa kuungana na mumewe. vinginevyo watoto wao wangekuwa si wa mungu; kumbe sasa ni watoto wake mungu.

英语

for the unbelieving husband is sanctified by the wife, and the unbelieving wife is sanctified by the husband: else were your children unclean; but now are they holy.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa wale wengine, (mimi binafsi, si bwana) nasema hivi: ikiwa mwanamume mkristo anaye mke asiyeamini, na huyo mwanamke akakubali kuendelea kuishi naye, asimpe talaka.

英语

but to the rest speak i, not the lord: if any brother hath a wife that believeth not, and she be pleased to dwell with him, let him not put her away.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,728,952,301 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認