您搜索了: awamu (斯瓦希里语 - 英语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

awamu

英语

love you

最后更新: 2017-02-21
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

alaa alifungwa au kuchunguzwa kila awamu ya urais wa nchi hiyo.

英语

alaa has been jailed or investigated under every egyptian head of state who has served during his lifetime.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

uchaguzi na ukomo wa awamu ya uongozi ndio mtazamo wa wengi.

英语

election reform and terms limit reflect the views of many.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

katika awamu hii, rais kagame ameahidi kuweka uongozi mikononi mwa wananchi.

英语

for this term, president kagame has pledged to put leadership in the hands of the people.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

huu walikuwa mbuzi wapatao 105 ambapo kamati iliweza kugawa mbuzi katika awamu 21

英语

this was about 105 goats where the committee was able to divide the goats into 21 phases.

最后更新: 2023-09-27
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

rwanda: watumiaji wa twita wajadili mpango wa rais kagame wa kugombea awamu ya tatu

英语

rwanda: tweeps debate as president kagame eyes third term · global voices

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

chanjo tano zilizoteuliwa zilikuwa katika utafiti wa usalami wa awamu ya i mwezi wa aprili.

英语

five vaccine candidates were in phase i safety studies in april.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

baada ya hapo, mradi huo utatathiminiwa na awamu ya pili itaanza ndani ya miaka mitatu hadi mitano.

英语

after that the project will be evaluated and the second phase rolled out in three to five years.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

vipimo vya awamu ya i, kwa kawaida katika watu wanaojitolea wenye afya, huamua usalama na kipimo cha dawa.

英语

phase i trials, usually in healthy volunteers, determine safety and dosing.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

wakiwa wanazidi kupungukiwa na msingi wa nguvu, nafasi ya yuschenko kushika awamu ya pili ya urais inakaribia na kutokuwepo.

英语

with an ever-receding power base, the chances of a second presidential term for yushchenko are almost nil.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

zingine katika majaribio ya hatua ya kwanza ya awamu ya ii au matibabu anuwai yaliyoteuliwa katika majaribio ya awamu ya i, pia hazijaajumuishwa.

英语

others in early-stage phase ii trials or numerous treatment candidates in phase i trials, are also excluded.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

inapitia awamu ya 2 ya vipimo visivyo na utaratibu maalum katika kiwango cha kitaifa nchini italia baada ya kuonyesha matokeo chanya kwa watu walio na ugonjwa kali.

英语

it is undergoing a phase 2 non randomised test at the national level in italy after showing positive results in people with severe disease.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

dawa za kuzuia virusi zilizorekebishwa zinajumuisha utafiti mwingi wa uchina, na majaribio ya awamu ya iii katika nchi kadhaa kwa sababu ya ripoti kabla ya mwisho wa aprili.

英语

repurposed antiviral drugs make up most of the chinese research, with nine phase iii trials on remdesivir across several countries due to report by the end of april.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

dawa za kukinga virusi zilizotumika vingine zinajumuisha utafiti zaidi huko uchina, na majaribio ya awamu ya iii ya remdesiviri katika nchi kadhaa kwa sababu ya ripoti kabla ya mwisho wa aprili.

英语

repurposed antiviral drugs make up most of the chinese research, with 9 phase iii trials on remdesivir across several countries due to report by the end of april.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

angalau kumekuwa na makala 19 ya matukio ya vurugu tangu mwanzo wa 2014 nchini burundi kabla ya uchaguzi wa rais vituo vya machafuko juu ya marekebisho ya katiba iliyopendekezwa na rais nkurunziza ambayo inaweza kumruhusu kugombea kwa awamu ya tatu.

英语

at least 19 violent incidents have been documented since the beginning of 2014 in burundi ahead of the presidential elections. the unrest centers on amendments to the constitution proposed by president nkurunziza that could allow him to run for a third term.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ikiwa haiwezekani tena kudhibiti maenezi ya ugonjwa , jitihada basi zinahamishwa katika awamu ya kuepukana: hatua zinachukuliwa ili kupunguza kuenea na kuepukana na athari zake kwenye mfumo wa tiba ya afya na jamii.

英语

when it is no longer possible to contain the spread of the disease, efforts then move to the mitigation stage: measures are taken to slow the spread and mitigate its effects on the healthcare system and society.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

hivyo, utoaji wa protini zinazotolewa na mbebaji virusi za aina ya i angalau katika awamu ya mapema ya maambukizi ya sars-cov-2 katika binadamu kunapaswa kuwa na manufaa.

英语

thus, administration of type i interferon at least in the early phase of sars-cov-2 infection in humans should be beneficial.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

correa aliianza awamu yake ya tatu katika bunge akishuhudiwa na wakuu wa nchi kadhaa za marekani ya kusini na ulaya, wawakilishi wa kimataifa, wabunge, mawaziri, wanafamilia wake na wanachama wa chama tawala cha alianza pais.

英语

correa took on his third term at the national assembly before the heads of state of different latin american and european countries, international delegations, assembly members, ministers, family members, and members of the governing party alianza pais.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

@timkalyegira: maelfu ya wa-nyarwanda wenye kutiririkwa na machozi hivi karibuni wataanza kuviambia vyombo vya habari vya kimataifa namna gani watajisikia kusalitiwa kama kagame hatagombea kwa awamu ya tatu.

英语

@timkalyegira: thousands of tearful rwandans will soon start narrating to world media how betrayed they will feel if kagame does not seek a third term.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya usafiri wa anga tanzania (tcaa), hamza s.johari akifungua rasmi awamu ya kwanza ya mafunzo ya ndege zisizo na rubani maarufu kama ndege nyuki(drone),mafunzo hayo yanatolewa na chuo cha usafiri wa anga tanzania (catc)kinachomilikiwa na tcaa  kwa ushirikiano na chuo cha pro wings kutoka afrika ya kusini, yanafanyika kwa muda wa wiki nne(moja darasani , tatu mafunzo kwa vitendo.)

英语

最后更新: 2021-01-05
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,738,055,604 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認