您搜索了: côte d'ivoire (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

côte d'ivoire

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

côte d'ivoire: kuanguka kwa laurent gbagbo

英语

côte d'ivoire: laurent gbagbo's fall · global voices

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

côte d'ivoire ni mada inayoongoza kwenye twita

英语

côte d'ivoire trending

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

côte d'ivoire: gbagbo agoma, waafrika waandamana

英语

côte d'ivoire: gbagbo resists, africans protest · global voices

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

côte d'ivoire: abijani kwenye masaa ya kudhoofu kwa utawala wa gbagbo

英语

côte d'ivoire: abidjan in the waning hours of gbagbo's regime · global voices

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hili nijanga la tatu la namna hii tangu mwaka 2009 nchini côte d'ivoire.

英语

this is the third disaster of this kind since 2009 in côte d'ivoire.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

siku mbili zilizopita zimekuwa na utajiri wa misuguano na mivutano nchini côte d'ivoire.

英语

the last two days have been rich in twists and turns in côte d'ivoire.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

côte d'ivoire: televisheni ya taifa rti inawezekana kuwa inatangaza kutokea kwenye gari la matangazo

英语

côte d'ivoire: state television rti possibly broadcasting from a mobile truck · global voices

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tukio hilo litaanzisha ujenzi wa reli kati ya niger, benin, burkina faso na côte d'ivoire.

英语

the event will kick start the construction of railroads between niger, benin, burkina faso and côte d'ivoire.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

abidjan na maeneo mengine ya côte d'ivoire yamekumbwa na mafuriko makubwa katika majuma kadhaa yaliyopita .

英语

abidjan and other regions of côte d'ivoire have been plagued by heavy downpour and floods for the past weeks .

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tatizo la côte d'ivoire linawagusa waafrika wote tunaionya jamii ya kimataifa na ufaransa kusitisha mara moja kile wanachokifanya nchini côte d'ivoire

英语

the problem of côte d'ivoire concerns all africans we warn the international community and france to stop what they are doing in côte d'ivoire

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tamasha la kwanza la africa web festival litafanyika jijini abidjan, côte d'ivoire (novemba 24-26).

英语

the first africa web festival will take place in abidjan, côte d'ivoire (november 24-26).

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

jamii ya mtandaoni ya côte d'ivoire inayo maoni katika matukio hayo, na ifuatayo ni picha ya haraka ya majadiliano machache:

英语

the ivorian online community commented on the events, and here is a quick snapshot of a few conversations.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

miezi mitano baada ya kukataa kukabidhi madaraka kwa rais anayetambuliwa kimataifa kama rais mpya wa côte d'ivoire alassane ouattara, mgogoro nchini humo hivi sasa unaelekea kufikia tamati.

英语

five months after he refused to hand the power to internationally recognised new president of côte d'ivoire, alassane ouattara, the crisis in the country has now seemingly found its epilogue.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

magogo ya miti yaliyokuwa yameanguka barabarani yanaonekana kusababisha msongamano mkubwa na ulioua watu 60 na kujeruhi wengine 49 wakati wa sherehe za kuukaribisha mwaka mpya mjini abidjan, côte d'ivoire.

英语

tree trunks laying on the road seem to have triggered the stampede that killed 60 and injured 49 during a new year celebration in abidjan, côte d'ivoire.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ofisi ya rais wa ufaransa (@elysée) ilitangaza kwa njia ya twita kwamba ufaransa imekubali kushiriki katika shambulio la kijeshi nchini côte d'ivoire siku ya tarehe 10 aprili, 2011:

英语

the french presidential office (@elysée) announced via twitter that france had accepted to take part in a new military intervention in côte d'ivoire on april 10, 2011:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kufuatia mabadiliko ya utolewaji wa huduma za afya ambazo zilitolewa bure kabisa baada tu ya kumalizika kwa mgogoro wa baada ya uchaguzi, sera iliyoanzishwa na serikali ya côte d'ivoire, ambayo sasa imeelekeza baadhi ya huduma tu ndizo zitakuwa bure, wafanyakazi wa taasisi kadhaa za afya hawajapata mishahara yao kwa wakati.

英语

from the total no-fees for healthcare initiated by the state of côte d'ivoire after the end of the post-electoral crisis to free selected healthcare services, employees of certain health institutions have yet to receive their salary in a regular manner.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wakati rais wa zamani wa côte d'ivoire rais laurent gbagbo akiwa bado amejichimbia ndani yahandaki nchini humo, akigoma kukamatwa kwa kuendelea kukataa kushindwa kwenye uchaguzi wa mwaka 2010, ushiriki wa ufaransa katika harakati za kumng’oa zinasababisha miitikio miongoni mwa wanasiasa na raia wa ufaransa , pamoja na jamii ya waafrika waishio ufaransa..

英语

while former côte d'ivoire president laurent gbagbo is still holed up in a bunker in the country, resisting arrest for continuing to deny his loss of the 2010 presidential election, the participation of france in the bid to oust him is raising reactions amongst french politicians and citizens , as well as within the african community in france.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

forces républicaine de côte d'ivoire (jeshi la jamhuri ya côte d'ivoire) liliingia abijani, mji mkuu wa nchi hiyo ambako rais aliyepo madarakani laurent gbagbo, aliyegoma kuachia madaraka tangu desemba mwaka jana (2010) baada ya kushindwa kwenye uchaguzi wa rais, anaweza kuwa huko.

英语

the forces républicaine de côte d'ivoire (republican forces of côte d'ivoire) have entered abidjan, the main city of côte d'ivoire where the incumbent president laurent gbagbo, who refused to step down in december 2010 after losing the presidential election, may still be located.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,777,981,360 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認