您搜索了: chumba cha upasuaji (斯瓦希里语 - 英语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

chumba cha upasuaji

英语

mgonjwa akisha fika chumba cha upasuaji akiwa amekamilisha mahitaji yote upasuaji utaanza ndani ya dakika kumi mara tu baada ya kufika

最后更新: 2023-09-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

chumba cha shule

英语

mama

最后更新: 2022-11-18
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mara chumba cha fulani

英语

i say to you

最后更新: 2015-08-08
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

chumba cha kukoshea maiti

英语

the room of the dead

最后更新: 2024-01-23
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

twende kwenye chumba cha mazoezi

英语

let’s go for a run

最后更新: 2023-09-27
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

chumba cha hospitali huko mandritsara, madagaska - cc by 2.0

英语

hospital room in mandritsara, madagascar - cc by 2.0

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

chumba cha gumzo:http://www.worknets.org/chat/

英语

chatroom: http://www.worknets.org/chat/ login instructions: click on the link above and login using your name.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

wakati wa utungu, hakuna mtu anaruhusiwa kuwa kwenye chumba cha kujifungulia.

英语

during the labor, no one is allowed in the delivery room.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ghana: je una chumba cha ziada kwa ajili ya rais wa zamani rawlings?

英语

ghana: do you have a spare room for ex-president rawlings? · global voices

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ninafarijika kuwa chumba cha mahakama ambamo usaliti huo ulitokea kimeoshwa kwa mikono na kimaadili kwa kutumia haki.

英语

i am glad that the courtroom where betrayal took place has been washed up physically and morally by applying justice.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

katika ukumbi wa kuelekea chumba cha upasuaji kulikuwa na mwili umelala sakafuni, damu zilikuwa zikimiminika kutoka kichwani, ilikuwa vigumu kusema kama alikuwa bado yungali hai au alikwishakufa.

英语

in the surgery hallway a man’s body lay in the floor bleeding by his head, it was impossible to know if he was dead or alive.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

genesis carmona (23) amejeruhiwa na risasi akiwa kwenye maandamano jijini valencia ametoka kwenye chumba cha upasuaji, na sasa yu katika chumba cha wagonjwa mahututi.

英语

genesis carmona (23) wounded by a bullet at the protest in valencia comes out of the operating theatre, is now in intensive care.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

hata hivyo, wagonjwa waliohamishwa kwa chumba cha hali mahututi walikuwa na muda wastani wa siku saba kati ya kulazwa hospitalini na kufa.

英语

however, patients transferred to an icu had a median time of seven days between hospitalisation and death.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kutokana na maagizo hayo, huyo askari aliwaweka katika chumba cha ndani kabisa cha gereza na kuifunga miguu yao kwenye nguzo.

英语

who, having received such a charge, thrust them into the inner prison, and made their feet fast in the stocks.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

chengdu living anawafundisha wasomaji wake namna ya kutafuta chumba cha kupanga nchini china bila kwenda kwa dalali kwa kutoa mwongozo wa hatua tano.

英语

chengdu living teaches readers how to rent an apartment in china without going through the agent by giving a 5 step-to-step guide.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

siku iliyofuata, watumishi 28 wa chumba cha habari walitoa tamko la pamoja wakionesha kusikitishwa na uamuzi huo wa utawala wa chombo hicho cha habari.

英语

the next day, 28 staff members from the newsroom issued a joint statement expressing regret over the management's decision.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

edom (kushoto) akiwa na mahlet akisindikizwa kwenye chumba cha mahakama ndani ya viunga vya mahakama kuu jijini addis ababa.

英语

edom (left) and mahlet being escorted to the courtroom inside the compound of high court in addis ababa.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

nchini uchina, takriban asilimia 30 ya watu waliolazwa hospitalini kwa sababu ya covid-19 , hatimaye walilazwa kwenye chumba cha hali mahututi.

英语

in china, approximately 30% of people in hospital with covid-19 are eventually admitted to icu.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

hatutaki kuona mazungumzo yanayotawaliwa na watu wanaoonekana kuvumilia utendaji wa chama tawala katika mambo ya kitaifa, na ambao ndio wanaosadikiwa kuwa sehemu ya mwangwi wa kale wa chumba cha siri cha majaji.

英语

we simply do not want to see a conversation that is dominated by people who might be sympathetic of the ruling party's position on national issues, and are hence more likely to be part of the ancient echo chamber.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kisha aliandika mambo kadhaa kabla ya kunikabidhi tena na kunielekeza kwenye chumba cha kupigia kura, kichumba cheupe kilichosimikwa chenye ubao kila upande ili kuzuia mtu yeyote asinione wakati nafanya chaguo langu.

英语

she then wrote some details as well before handing it over to me and then directed me to the polling booth, a white folded stand with visors on both sides to prevent anyone from seeing me make my choice.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,794,094,076 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認