您搜索了: foleni (斯瓦希里语 - 英语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

foleni

英语

foleni

最后更新: 2021-09-21
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kwenye foleni

英语

please queue here

最后更新: 2020-04-20
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

dai hili litabaki katika foleni yako ya ukaguzi.

英语

hii ardhi no yati sothi

最后更新: 2020-08-15
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

wapiga kura walisimama kwa masaa kadhaa kwenye foleni kwa uvumilivu.

英语

voters stood in line patiently for hours.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

foleni ya magari kwenye barabara ya zarghoon jijini quetta, pakistan.

英语

a traffic jam at zarghoon road in quetta, pakistan.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kadhalika uhaba wa mikate, ambao unaendelea, na foleni ni ndefu kuliko.

英语

so is the absence of bread, which goes on, the lines longer than ever yet.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kwenye foleni ndefu kwa masaa sita sasa joto kali na hakuna malalamiko. #respect

英语

in queu for 6 hours in the heat and little complaints. #respect

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

watu wa malawi wamekuwa wakipanga foleni kwa masaa mengi ili kupata mafuta tangu tangu mwaka 2010.

英语

malawians have been queuing up for hours for fuel since 2010.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

sipendi kuruka angani , sehemu zenye watu wengi, kupanga foleni, kadhalika sipendi wadudu.

英语

i dont like flying, over crowded places, standing in lines and most bugs.i stumble in stilettos.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

foleni kwenye vituo vya kupigia kura ni ndefu sana, zinaenda taratibu na ni joto, lakini hakuna mtu anaonekana kujali.

英语

queues at polling stations long, slow & hot, but nobody seems to mind.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

foleni ndefu kwenye vituo vya basi. ninahitaji kwenda kaskazini lakini nimekwama katikati ya jiji tokyo. #quake12

英语

still walking like everyone else in tokyo. trains stopped. taxis full. long lines at bus stops. need to get north but stuck in tokyo. #quake12

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

maritza salazar (@maritzasalazar) aliweka picha hii ya wapiga kura wakiwa katika foleni ndefu tangu usiku wa kuamkia uchaguzi:

英语

maritza salazar (@maritzasalazar) shared this picture of voters waiting in queue since the night before:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

siku hiyo ya ziara ya waziri mkuu, muhammad siddique, mmliki wa gari lililokuwa kwenye foleni alisema mikutano muhimu na safari za watu maarufu zibaki kuwa kwenye maeneo ya kijeshi la jiji hilo.

英语

on the day of the prime minister's visit, muhammad siddique, a car owner stuck in a traffic jam said important meetings and vip movements should be restricted to the high security military cantonment of the city.

最后更新: 2024-03-18
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

serikali ya syria imefanya shambulizi kubwa la angani dhidi ya raia wa nchi hiyo -waliokuwa wamesimama kwenye foleni waisubiri mikate kwenye kiwanda cha kuokea mikate huko halfaya, hama.

英语

the syrian government conducted a deadly airstrike against syrians - standing in line waiting for bread in a bakery in halfaya, in hama.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

sasa, kama tunataka kutekeleza kitu kama hiki cha msala mmoja shuleni –fikiria wanafunzi watakavyopanga foleni kutumia msala –hebu na tuanze na kundi la juu la watumishi kwanza.

英语

now, if we want to implement such a thing as 1toilet in school - imagine queueing up with the students to use the toilet - let us start with the upper level of administrators first.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

lakini wiki hii foleni ndefu zilionekana nje ya ofisi za kutuma na kupokea pesa, kama vile katika ofisi hii ya cam katika carrefour, kusini-mashariki ya port au prince, kama ilivyopigwa picha na georgia poppelwell.

英语

but this week long lines were visible outside money transfer offices, such as this cam office in carrefour, southeast of port au prince, photographed by gv's georgia poppelwell.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

"mto sarawak jana ulionyesha nguvu zake wakati ulipopasua kingo zake na kumiminikia kwenye ufukwe wa kuching. na wakazi wa kuching wanaeleza kwamba mafuriko haya ni mabaya zaidi katika miaka 20, yalizua foleni kubwa za magari, yalisitisha biashara na kuwajaza hofu wale waliotegemea kwamba maafa zaidi yangelitokea.

英语

"sarawak river showed yesterday its might when it burst it banks and water spilled into kuching waterfront.and the floods descrides by kuchingites as the worst flood in 20 years, caused massive trafic jam, halted business and caused panic among some who anticipated that worst was yet to come.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,747,077,237 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認