来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
kwa hakika kama kungekwa na noti bandia kwenye mzunguko wa uchumi tungeshaona mfumuko wa bei ukipaa mara tatu.
honestly if there is fake money circulating in the economy we would have seen inflation tripling.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
niliangalia hotuba aliyoitoa clinton kwenye televisheni na sina hakika kama ni mimi tu, lakini yule mwanamke hafanani na hillary.
i saw the speech hillary made on television and i don't know whether it's just me but that woman doesn't look exactly like hillary.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
ni sehemu ya mazoea ya aina yake afrika kusini na nina hakika kama wageni wetu watahudhuria michezo hii na kushuhudia hali hii ya hewa (iliyojaa kelele ya mavuvuzela) basi watayapenda.
it’s all part of the uniquely south african experience and i’m certain that if our foreign visitors attend the games and experience the electrifying atmosphere they will fall in love with the vuvuzela.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
happy betty: najisikia kubarikiwa kuwa hai wakati huu uganda inapotimiza miaka 50 sina hakika kama nitaendelea kuwepo wakati huo itakapofikia miaka 100 bali kwa kizazi changu... wazee wetu wametufikisha hapa tulipo leo, ni zamu yetu kuipeleka uganda kuelekea miaka mingine 50 tukijua vyema tunakoelekea -mungu yu pamoja!
happy betty: blesed 2b hea as uganda meks 50 sure i shall stil b around at 100 bt 2my generation thus far our fathers hv come its our turn 2take uganda thr da nxt 50 yrs we determine what we shall have then-god sure is with us!
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
一些相关性较低的人工翻译已被隐藏。
显示低相关性结果。