来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
basi, mti mwema huzaa matunda mema, na mti mbaya huzaa matunda mabaya.
even so every good tree bringeth forth good fruit; but a corrupt tree bringeth forth evil fruit.
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:
kweli nawaambieni, punje ya ngano hubaki punje tu isipokuwa ikianguka katika udongo na kufa. kama ikifa, basi huzaa matunda mengi.
verily, verily, i say unto you, except a corn of wheat fall into the ground and die, it abideth alone: but if it die, it bringeth forth much fruit.
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:
ile mbegu iliyopandwa katika udongo mzuri ni mfano wa mtu ausikiaye ujumbe huo na kuuelewa, naye huzaa matunda; mmoja mia, mwingine sitini na mwingine thelathini."
but he that received seed into the good ground is he that heareth the word, and understandeth it; which also beareth fruit, and bringeth forth, some an hundredfold, some sixty, some thirty.
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:
警告:包含不可见的HTML格式
lakini hekima itokayo juu mbinguni, kwanza ni safi; inapenda amani, upole na huwajali watu; imejaa huruma na huzaa matunda ya matendo mema; haina ubaguzi wala unafiki.
but the wisdom that is from above is first pure, then peaceable, gentle, and easy to be intreated, full of mercy and good fruits, without partiality, and without hypocrisy.
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量: