您搜索了: iliyoanzishwa (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

iliyoanzishwa

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

operesheni hii maalum iliyoanzishwa na jeshi imepangwa kudumu kwa wiki sita.

英语

the special operation that the military commences is scheduled for six weeks.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

picha kwa hisani ya freesodiqov.org, tovuti iliyoanzishwa na wenzake sodiqov katika chuo kikuu cha toronto.

英语

photo taken from freesodiqov.org, a website set up by sodiqov's colleagues at the university of toronto.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kampeni ya kumkamata #kony2012 iliyoanzishwa na azise ya watoto wasioonekana kwa hakika ilibeba mambo yaliyorahisishwa mno kuhusu afrika.

英语

the #kony2012 campaign led by the invisible children ngo certainly contained a few over-simplifications about africa.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

maandamano hayo yaliandaliwa na kikundi kinachopinga kuendeshwa kwa mashitaka ya kijeshi kwa raia, kampeni iliyoanzishwa na mona seif lakini ambayo hata hivyo kaka yake alaa hakuwa mwanachama.

英语

the protest in question was organized by the no to military trials for civilians group, a campaign initiated by mona seif but of which her brother alaa is not a member.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

katika habari zinazohusiana na hizi, jumuia ya msalaba mwekundu ya myanmar ilitoa tamko kupitia kwa waandishi wa habari ikikanusha uvumi kuwa inafadhili ofisi ya oic iliyoanzishwa kinyemela katika jingo lao.

英语

in related news, the myanmar red cross society issued a press release denying rumors that it is sponsoring a hidden oic office inside its building.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

uhusiano kati ya nchi mbili jirani za slovakia na hungaria ulianza kutetereka katika mwaka uliopita, hasa kwa sababu ya kile kinachoitwa "sheria ya lugha" iliyoanzishwa huko slovakia.

英语

the relations between the two neighboring countries, slovakia and hungary, went bad last year, especially because of the so-called "language law" introduced in slovakia.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

kati ya vivutio vya mkutano huo kitakuwa ni kutangazwa kwa washindi wa tuzo ya kuvunja mipaka, tuzo mpya iliyoundwa na google pamoja na global voices ili kuenzi miradi ya kipekee katika wavuti iliyoanzishwa na watu au vikundi vinavyoonyesha ujasiri, ari na uwezo wa kutumia intaneti ili kukuza uhuru wa kujieleza.

英语

among the highlights of the proceedings will be the announcement of the winners of the breaking borders award, a new prize created by google and global voices to honor outstanding web projects initiated by individuals or groups demonstrating courage, energy and resourcefulness in using the internet to promote freedom of expression.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

blogu ya vitabu ya karibea iliyoanzishwa na mwandishi wa habari kutoka st. lucian, tony williams, ina lengo la "kuwahabarisha waandishi wa vitabu na wasomaji kuhusu maendeleo ya hivi karibuni katika biashara ya kimataifa ya vitabu na jinsi gani maendeleo hayo yanaweza kuathiri jumuiya za usomaji katika ukanda wa karibea na visiwa dola vingine vidogovidogo."

英语

caribbean book blog, created by the st. lucian journalist tony williams, aims to "inform writers and readers about the latest developments in the international book trade and how they are likely affect the literary communities in the caribbean and other small-island states."

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
8,025,524,219 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認