您搜索了: jenerali (斯瓦希里语 - 英语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

jenerali

英语

general

最后更新: 2010-04-28
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

kamishna jenerali wa uhamiaji

英语

high commissioner for immigration

最后更新: 2024-01-02
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

tafadhali nitumie video ya jenerali akizungumza na askari

英语

kindly send me the video of general speaking to soldiers

最后更新: 2023-04-11
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

nkurunziza na jenerali niyombare wote walikuwa viongozi wa waasi wa ki-hutu.

英语

nkurunziza and general niyombare are both former hutu rebel leaders.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

jenerali abdel aziz ni miongoni mwa walioshiriki mapinduzi ya kijeshi nchini mauritania mwaka 2005.

英语

general abdel aziz was also involved in a 2005 coup d'état in mauritania.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

jenerali ricardo solar anasema kuwa idadi ya watu waliokamatwa baada ya maandamano ya wanafunzi inafikia 101.

英语

general ricardo solar reports that the number of people under arrest after the student march is 101.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

picha ya kijeshi ya meja jenerali mohamed siad barre, rais wa somalia aliyetawala kwa muda mrefu kuliko wengine.

英语

military portrait of major general mohamed siad barre, somalia's longest-serving president.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

jenerali huyo alimtaarifu joyce banda, peter mutharika na goodall gondwe kuwa jeshi litadumisha katiba na jambo lolote tofauti na hilo halitavumiliwa.

英语

the general informed joyce banda, peter mutharika and goodall gondwe that the army will uphold the constitution anything other than that will not be entertained.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

jeshi la malawi lilifanya kazi ya muhimu sana, jenerali odillo aliongoza mkutano na viongozi wa jeshi na kwa kauli moja walikubali kufuata katiba.

英语

the malawi defence played a crucial role, general odillo chaired a meeting with military chiefs and unanimously agreed follow the constitution.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

djamil ahmat anaripoti kuwa rais déby wa chadi amemteua mwanae wa kiume mahamat idriss déby, 24, kuwa brigedia jenerali pamoja na maafisa wengine wanne.

英语

djamil ahmat reports that chadian president déby named his son mahamat idriss déby, 24, general of brigade along with 4 other officers.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

hata hivyo, inaonekana kuwa kuwa jemadari mkuu siyo kigezo cha muhimu katika jeshi la misri na hata hivyo meja jenerali huyu mstaafu alikuwa na vigezo vyote vya kumfanya kuwa jemadari mkuu .

英语

however, it seems that this is not a prerequisite in the egyptian army and that the former general had all the necessary qualifications to become a field marshal.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

inspekta jenerali wa polisi david kimaiyo kupitia ukurasa wake wa twita(@igkimaiyo) alithibitisha kwamba operesheni ya polisi ilikuwa ikiendelea:

英语

inspector general of police david kimaiyo via his twitter account (@igkimaiyo) confirmed that a police operation was underway:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mgombea urais wa upinzani, jenerali (mstaafu) muhammadu buhari akiongea kwenye kongamano la raia wa afrika wanaoishi ughaibuni lililofanyika katika jiji la london.

英语

the main opposition candidate general (rtd) muhammadu buhari speaking at african diaspora conference in london.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

siku chache kabla, zelaya alimuondoa madarakani mkuu wa majeshi, jenerali romeo vasquez velasquez, jambo ambalo lilifuatiwa na kujiuzulu kwa wanajeshi wengine wa vyeo vya juu kwa sababu hawakukubaliana na kura hiyo ya maoni.

英语

days earlier, zelaya had removed the head of the armed forces, general romeo vásquez velásquez, which was followed by the resignation by other top military officials because they would not support the vote.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kisha, jeshi la misri lilitwaa madaraka, chini ya uongozi wa amiri jeshi mkuu wa vikosi vya ulinzi nchini misri na waziri wa ulinzi, jenerali abdul fattah el sisi, ambaye baadae alichaguliwa kuwa rais mpya wa misri.

英语

then, the egyptian army took command, under the leadership of commander-in-chief of the egyptian armed forces and minister of defence general abdul fattah el sisi, who was later on elected as the new president of egypt.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

- jenerali laurent nkunda na chama chake cha taifa kwa ajili ya kulinda watu au congres national pour la defense du peuple (cndp) anadai kupigana kwa ajili ya kuwalinda wananchi wa kongo wa kabila la watusi dhidi ya wageni wasioalikwa na wala kutakiwa nchini humo,

英语

-general laurent nkunda and his congres national pour la defense du peuple (cndp) claim to fight for the protection of the congolese tutsi population from the drc's most uninvited and unwelcome guests,

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,740,587,447 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認