您搜索了: jeshi la kujenga taifa mujibu wa sheria (斯瓦希里语 - 英语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

jeshi la kujenga taifa kwa mujibu wa sheria

英语

最后更新: 2020-05-17
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

jeshi la kujenga taifa (jkt)

英语

nation building army

最后更新: 2020-01-22
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

vijana wa jeshi la kujenga taifa

英语

the youth of the nation-building army

最后更新: 2024-02-26
使用频率: 2
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

tunzo la jeshi la kujenga taifa kwa muhujibu

英语

the army to build the nation according to the law

最后更新: 2019-07-12
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

niko tayari kujiunga na jeshi la kujenga taifa na usalama wa intelijensia kwa masomo ya futari

英语

i frida iam ready to join national building army and intelligence security for futher studies

最后更新: 2022-11-28
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mafunzo ya awali ya ulinzi , ujasiliamali na ujenzi wa taifa kwa mujibu wa sheria,

英语

an army to build a nation according

最后更新: 2019-12-19
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

nilijinga na elimu ya secondary mwaka 2013 adi 2016 nikafaulu kwa alma ya 32 2017 nilijiunga na jeshi la kujenga taifa (jkt) ad sasa

英语

my name is prezentasio joakim ngonyani i was born 22/10/1998 in ruvuma region songea district i started primary school in 206 adi 2012 ad now

最后更新: 2021-09-29
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

katika demokrasia ya kijeshi, maandamano huadhibiwa na walimu sasa wanalipa gharama ya kwa mujibu wa sheria

英语

in the military democracy, protests are punishable and the teachers are now paying for it in a legal way

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kwa mujibu wa sheria hiyo, wafanyakazi wa ndani wanachukuliwa kama " wahandisi wa kazi za nyumbani ".

英语

the proposed law is expected to refer to homemakers as "home engineers".

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

wakati tumefikia kwenye suluhisho la kihalisia, sina uhakika kama suala hili na hali ya mambo iliyomteua jonathan kuwa makamu wa rais ilikuwa kwa mujibu wa sheria.

英语

while we have arrived at a practical solution, i am not sure that the manner and circumstances in which jonathan was appointed acting vp was legal.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

glenda larke anaamini kwamba ndoa za watoto hazina tofauti na ngono batili kati ya watu wazima na watoto, hata kama ni kwa mujibu wa sheria.

英语

glenda larke believes that a child marriage is no different to paedophilia, even if it is legal.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

adhabu ya kifo itatolewa kwa kubeba au kuuza mihadarati ya zaidi ya uzito wa gramu 50 kwa mujibu wa sheria za china, na alikutwa na zaidi ya gramu 4000.

英语

carrying or selling heroine of more than 50 grams will get death penalty according to the chinese law, and over 4000 grams were found on akmal.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

tume hiyo imetamka kuwa, kwa mujibu wa sheria ya udhibiti wa mawasiliano nchini bangladesh, inaweza kuomba taarifa inayoyakiwa kutoka ka mtu yeyote au taasisi yoyote inayotumia mtandao wa intaneti.

英语

the commission has stated that according to the bangladesh telecommunication regulatory act, it can ask required information from any individual or institution who uses the internet.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mwenyekiti wa tume ya uchaguzi, dr. kwadwo afari gyan, amekanusha madai hayo akisema kwamba chama cha npp wanayo haki ya kupinga matokeo hayo katika mahakama za ghana kwa mujibu wa sheria za uchaguzi za nchi hiyo.

英语

the chairman of the electoral commission, dr. kwadwo afari gyan, has denied the allegations saying the the npp can challenge the results in ghana’s courts according to the electoral laws of the country.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kutafuta chochote kinachohusiana na neno “tiananmen” kwenye mtandao maarufu wa kijamii nchini china sina weibo kutakutana na ujumbe unaomfahamisha mtafutaji kuwa majibu hayawezi kupatikana kwa mujibu wa sheria na kanuni zinazohusika.

英语

a search of “tiananmen” on popular microblogging sina weibo reveals a message telling users that results cannot be found according to related laws and regulations.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kwa mujibu wa afisa wa shirika la unicef anayefanya kazi nchini humo, shamshad qureshi, sababu zinazotajwa ni pamoja na kukosekana kwa udhibiti wa kutosha wa sheria inayohusika, upuuzaji unaofanywa na wazazi na ukosefu wa uelewa miongoni mwa watoto na jamii kwa ujumla.

英语

according to unicef local officer shamshad qureshi the reason is lack of proper law enforcement, negligence of parents and lack of awareness among the children and the society.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kwa mujibu wa sheria ya kupiga vita ufisadi ya mwaka 1999 (iliyorekebishwa mwaka 2007), watumishi wa umma, ikiwa ni pamoja na mawaziri, , hawaruhusiwi kupokea zawadi au takrima inayoziti bhat 3,000.

英语

under the 1999 anti-corruption law (amended 2007), state officers, including cabinet members, cannot receive any gift or benefit that is worth more than 3,000 baht.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mwaka 2007 nilijiunga na shule ya bweni ya wavulana songea kwa masomo ya advance level hasa katika mchepuo wa hgl na kuhitimu mwaka 2009 na kupata daraja la ii:ii. ambapo mwezi wa tisa 2009 nilianza elimu yangu ya shahada ya kwanza ya sheria katika chuo cha mtakatifu agustino na kufanikiwa kuhitimu novemba 2013. 30 june 2015 nilijiunga na jeshi la kujenga taifa katika kambi ya bulombora 821kj kigoma na kisha tumikia jeshi la kujenga taifa hadi novemba 2017 nilipo ajiriwa rasmi na jeshi la wananc

英语

in 2007 i joined the songea boys' boarding school for advance level studies especially in hgl and graduated in 2009 and obtained a grade ii: ii. in september 2009 i started my undergraduate law degree at st. augustine's college and graduated in november 2013. 30 june 2015 i joined the nation building army at bulombora 821kj kigoma camp and then served in the nation building army until november 2017 when i was officially employed by the wananc army in

最后更新: 2020-11-16
使用频率: 2
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

jaji meyer joffer alibaini kwamba selebi, rais wa zamani wa polisi wa kimataifa (interpol), alipokea mamia ya maelfu ya randi kwa ajili ya malipo mbalimbali kati ya mwaka 2000 na 2005 kutoka kwa wafanyabiashara watatu, ikiwa ni pamoja na mtuhumiwa na mauaji glen agliotti, malipo ambayo “hayakuleta maana yoyote kama biashara halali kwa mujibu wa sheria” na yalikusudiwa kuwa kama rushwa.

英语

judge meyer joffe found selebi, a former president of interpol, received hundreds of thousands of rand in payments between 2000 and 2005 from three businessmen, including murder suspect glen agliotti, that “made no legitimate business sense” and were intended as bribes.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,743,791,449 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認