您搜索了: kakakuona (斯瓦希里语 - 英语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

kakakuona

英语

pangolin

最后更新: 2017-04-29
使用频率: 3
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

hatuwezi kufungia nje uwezekano kwamba kakakuona ni mmoja wa wanyama wabebaji wa kati wa sars-cov-2.

英语

we cannot exclude the possibility that pangolin is one of the intermediate animal hosts of sars-cov-2.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

katika februari 2020, watafiti wachina waligundua kuwa kuna tofauti moja tu ya asidi amino katika sehemu fulani ya utaratibu wa chembe kati ya virusi hivi kutoka kakakuona na vile kutoka binadamu.

英语

in february 2020, chinese researchers found that there is only one amino acid difference in certain parts of the genome sequences between the viruses from pangolins and those from humans.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

pili, kakakuona wanaweza kuwa mojawapo ya wabebaji wa kati wanaosambaza virusi ambao wamepata virusi vinavyohusiana na sars-cov-2 kwa mara ya kwanza.

英语

second, pangolins could be one of intermediate amplifying host to which a sars-cov-2-related virus had been newly introduced.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

jinomeu hizi za cov kutoka kwa kakakuona zina 85-92% ya msururu wa homolojia ya nukleotidi sawa na virusi vya sars-cov-2.

英语

these novel pangolin cov genomes share 85-92% nucleotide sequence homology with sars-cov-2.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

hata hivyo, iwapo na jinsi virusi vya sars-cov-2 husambazwa kwa binadamu kupitia kakakuona na mamalia wengine inasalia kuwekwa wazi katika uchunguzi wa siku zijazo.

英语

however, whether and how sars-cov-2 is transmitted to humans through pangolins and other mammals remain to be clarified in future investigations.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ikiwa ni popo, kakakuona au mnyama mwingine, inatarajiwa kwamba sars-cov-2 au virusi vyake vizalishaji ambavyo vinakaribia kufanana vitatambuliwa kwenye wabebaji wake asilia katika siku zijazo.

英语

should it be a bat, a pangolin or another mammal, it is expected that sars-cov-2 or its parental viruses that are almost identical will be identified in its natural hosts in future.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kwanza, ikiwa popo wanasambaza virusi vya kijadi vya sars-cov-2 kwa kakakuona, itakuwa jambo la kuvutia kuona ni katika hali zipi ambapo popo na kakakuona wanaweza wakapatikana katika mazingira sawa ya kiekolojia.

英语

first, if bats transmit an ancestral virus of sars-cov-2 to pangolins, it will be of interest to see under what circumstances bats and pangolins could share the same ecological niche.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

hata hivyo, kwa sasa hakuna ushahidi wa kuunga mkono asili ya moja kwa moja ya kakakuona ya sars-cov-2 kutokana na tofauti za msururu kati ya virusi vya sars-cov-2 na virusi vya beta-covs vinavyohusiana na sars-cov-2 ya kakakuona.

英语

however, currently there is no evidence in support of a direct pangolin origin of sars-cov-2 due to the sequence divergence between sars-cov-2 and pangolin sars-cov-2-related beta-covs.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,794,105,225 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認