您搜索了: katika kipindi cha mpito (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

katika kipindi cha mpito

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

kipindi cha kiangazi

英语

summer

最后更新: 2011-01-22
使用频率: 3
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

haya yatakuwa mapinduzi makubwa katika kipindi cha majuma machache.

英语

all out revolution within weeks.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

hayo ni maswali ya msingi katika kipindi cha miezi kadhaa ijayo.

英语

those are going to be crucial questions in the next few months.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

hii inajulikana kama kipindi cha kupevuka.

英语

this is called the incubation period.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

mungu wa nguvu awape nguvu kwa katika kipindi hiki

英语

may god give you strength during this time.

最后更新: 2023-07-09
使用频率: 2
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

katika kipindi cha masaa 3, video hii ilikuwa tayari imeshatazamwa mara 130,000.

英语

within 3 hours the video had been viewed 130,000 times.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

hili ni tukio la pili kuzikumba ndege za malaysia katika kipindi cha miezi kadhaa.

英语

this is the second tragedy to hit malaysia airlines in a matter of months.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

bunge ni moja ya taasisi zilizoundwa na jeshi kwa malengo ya kuratibu kipindi cha mpito.

英语

the nla is one of the institutions created by the military to oversee the country's transition.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

jumla ya fedha zilizotolewa katika kipindi hicho ni euro bilioni tatu.

英语

7,000 projects funded, bringing together over 22,000 private and public research teams between 2005-2009. the cumulative amount financed between 2005-2009 is three billion euros.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

gharama ya maji ya chupa yalipanda mara nne zaidi ya bei ya kawaida katika kipindi cha tatizo la theluji.

英语

the price for bottled water rose four times during snowing days.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

wanakielewaje kipindi hiki cha mpito chini ya utawala wa wanamgambo wa houthi na yepi ni matatizo yao makubwa?

英语

how do they perceive the transitional period under houthis rule and what are their main concerns?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

chama cha bn kimetawala malaysia kwa kipindi cha nusu karne.

英语

bn has ruled malaysia for the past half-century.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

斯瓦希里语

ahsante kwa maneno yako ya kutia moyo katika kipindi hiki kigumu kwa taifa kwa kumpoteza rais wetu mpendwa

英语

thank you for your words of encouragement in this difficult time for the nation

最后更新: 2021-03-22
使用频率: 2
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

anashangaa ni kwa nini operesheni dhidi ya magaidi hawa waliokuwepo kwa miaka sita sasa inafanyika katika kipindi cha tarehe za uchaguzi wa rais.

英语

he wonders why the offensive against an insurgency that has lasted for six years coincides with the date of the presidential election.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

katiba ipo wazi #uchaguzinigeria lazima ufanyike katika kipindi cha siku 90 & na si zaidi ya siku 30 kabla ya mei, 29.

英语

constitution is clear #nigeriaelection must be held no earlier than 90 days & no later than 30 days before may 29.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

anc ilikuwa imetangaza kwamba makamu wa rais wa chama hicho kgalema motlanthe alikuwa ameteuliwa na chama kushika nafasi ya rais katika kipindi cha mpito mara baada ya kuondoka rais thabo mbeki mnamo siku ya alhamis.

英语

the anc has confirmed that its deputy president kgalema motlanthe has been chosen as the party’s preferred candidate to serve as the country’s interim president after thabo mbeki leaves office on thursday.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

april peavey ni mtayarishaji na mwandaaji wa kipindi cha the world kinachoendeshwa na pri.

英语

april peavey is studio director and producer for pri's the world.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

haya yameonekana hata kwenye nchi zile ambazo hazijawahi kuwa na ukomo wa vipindi vya urais na hata kwenye nchi zile zilizoondoa ukomo huo katika kipindi cha miaka 15 iliyopita.

英语

this is true even in those countries that have never had term limits and those that have removed them in the past 15 years.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

afrika kusini: kikaragosi kiliochoathirika na vvu kwenye kipindi cha sesame chaelimisha kuhusu ukimwi

英语

south africa: sesame street's hiv-positive muppet raises awareness · global voices

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

"matokeo moja wapo ya kuwa mama katika kipindi cha utoto ni mwanamke kukosa fursa za kujiendeleza kitaaluma, na hivyo kujikuta akifanya kazi yoyote ile kujipatia kipato.

英语

"one consequence of teen mothers is woman lose development opportunities from a professional viewpoint, take any job in order to make some income.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,794,461,288 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認