您搜索了: kuchukuliwa (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

kuchukuliwa

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

nzuri na vizuri sana kuchukuliwa

英语

beautiful and very well taken

最后更新: 2016-06-11
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

malaysia lazima iombe kuchukuliwa kwa hatua za kimataifa kwa janga hili lisilokubalika.

英语

malaysia must demand for international action on this unprecedented tragedy.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

inaweza kuchukuliwa kwamba, tayari vimezoeleka kwa mbebaji mwingine wa karibu na binadamu.

英语

presumably, it has already been adapted to another host close to humans.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

wengi wanatia shaka ukweli wa idadi na kuzua swali ni nini hasa kuchukuliwa kama kushambuliwa.

英语

many doubt the veracity of the numbers and question what is really considered aggression.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

chochote kisipuuzwe na kuchukuliwa kijuu juu, na pia tusichukulie kila kilichosemwa kuwa ni uongo au ukweli.

英语

nothing out of it, should be taken for granted, to be or not to be the absolute truth.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

wabudha wa myanmar wajitoe mhanga kwa kiasi gani ili hali wanayokabiliana nayo ifahamike na kuchukuliwa hatua stahiki?

英语

how many lives must the burmese buddhists sacrifice further to put the (situation) on pages and screens?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

haiwezi kuchukuliwa kuwa wale ambao maelezo yao hayapo ni sawa na wale walio na data kuhusu kulazwa hospitalini au hali sugu za afya.

英语

it cannot be assumed that those with missing information are similar to those with data on either hospitalizations or underlying health conditions.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

nataka bidhaa nyingi kwaajiri ya biashara ila kwa leo nitachukua tv moja ili kuona ubora wa bidhaa zenu kisha ndio naanza kuchukuliwa mzigo mkubwa

英语

nataka bidhaa nyingi kwaajiri ya biashara ila kwa leo nitachukua tv moja ili kuona ubora wa bidhaa zenu kisha ndio nianze kuchukua mzigo mkubwa

最后更新: 2022-08-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

wakati hali ya utoaji wa huduma za afya inazidi kuzorota, hadi sasa hakuna hatua zozote zilizokwisha kuchukuliwa ili kukabiliana na tatizo hili.

英语

the health record is appalling, yet there is no shortage of initiatives to change the situation.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

maandamano yalianza katika chuo kikuu cha khartoum mnamo june 17, ambapo mamia ya wanafunzi walipinga hatua za kubana matumizi zinazotarajiwa kuchukuliwa na serikali.

英语

protests broke out at khartoum university on june 17, when hundreds of students denounced the government’s planned austerity measures.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

huko concepcion, rais alieleza kwamba hatua za muhimu zilikuwa zimekwishaanza kuchukuliwa ili kujenga upaya madaraja, barabara, bandari na viwanja vya ndege.

英语

in concepcion, he explained that the necessary measures to reconstruct bridges, roads, ports, and airports were already underway.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

naye catherine forsythe, akiblogu kwenye dogreader, anaongeza kwamba jumbe hizi hatimaye zitaweza kuchukuliwa kama "jumbe za kero" za afya.

英语

catherine forsythe, blogging on dogreader, adds that these messages may eventually be seen as "health spam."

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

sisi tayari tunajua jinsi tafiti hizi za masuala ya kijinsia zinavyofanya kazi, mkibishana kidogo na mpenzi wako kuhusu "rimoti" ya televisheni hiyo inatosha kuchukuliwa kuwa udhalilishaji wa kijinsia

英语

we already know how these feminist surveys work, if you argue over the tv remote it's considered macho violence

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

dah hili balaa aiseeh! corona has ruined the world, kiukweli kuna kitu cha kujifunza kutokana na kifo hiki. tahadhari ziendelee kuchukuliwa, hii corona itasumbua sana!

英语

dah this is overwhelming aiseeh! corona has ruined the world, there is certainly something to learn from this death. caution keep taking, this corona will be very stressful!

最后更新: 2020-04-04
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ikiwa kutakuwa na mgusano wa karibu wakati wa kuchukuliwa, wafanyakazi wanapaswa kusafisha na kutakasa mkanda na vifaa vyao vya kazi kabla ya kuvitumia tena kwa kutumia kinyunyizi au kipanguzaji cha kusafisha cha nyumbani, na wafuate taratibu za kawaida za kufanya kazi na utupaji wa ppe na vya kuweka na kufua nguo.

英语

if close contact occurs during apprehension, workers should clean and disinfect their duty belt and gear prior to reuse using a household cleaning spray or wipe, and follow standard operating procedures for the containment and disposal of used ppe and for containing and laundering clothes.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kwa watu walioambukizwa waliopimwa katika wiki ya pili, vifaa mbadala vya sampuli vinaweza kuchukuliwa kutoka kwenye kina cha njia za kupumua kupitia kifaa cha kunyonya majimaji ya mwili au kikohozi (kikohozi) kinaweza kutumika.

英语

for infected people tested in the second week, alternatively sample material can then be taken from the deep airways by suction catheter or coughing up material (sputum) can be used.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ni hasa inalenga katika kuzuia vita na resolution.the kuu wasiwasi wa utafiti pia ni kuchunguza sherehe bira ibada (ka yote ya utendaji usiku ngoma) ambayo ni kuchukuliwa kama njia ambayo watu wa jamii fulani kuja pamoja ili kuingiliana na mababu zao ambao wanadhani kuwa katika udhibiti wa kila kitu yanayoathiri them.they kutatua matatizo ya kijamii kwa njia ya muziki na ngoma ya sherehe bira.

英语

it specifically focuses on the conflict prevention and resolution.the major concern of the study is also to examine the bira ritual ceremony( an- all night dance performance) which is taken as a means through which people of a certain society come together to interact with their ancestors whom they deem to be in control of everything that affect them.they solve social problems through music and dance of the bira ceremony.

最后更新: 2016-04-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
8,029,059,327 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認