尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。
来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
nimehitimu ngazi ya degree
i've graduated from the diploma
最后更新: 2024-04-20
使用频率: 1
质量:
lakini anasema hakufanya makosa yoyote na alitaka kurudi kuendelea na masomo yake ya chuo kikuu, bi.
but he said he had done nothing wrong and wanted to return to his university studies, ms. bakhshi added.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
binti huyo alifanya kazi kwa miaka miwili ili aweze kulipa madeni yote kabla hajaamua kuendelea na masomo ya juu zaidi huko shanghai.
she worked for two years to payback all the debts before she decided to continue her post-graduate study in shanghai.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
ninayo heshima kuomba ruhusa ya kusitisha masomo ya muhula huu wa pili mpaka hapo mwakani nitarejea tena kuendelea na masomo yangu
related to the headline above
最后更新: 2021-06-22
使用频率: 1
质量:
参考:
na nimefanikiwa kujiunga na elimu kwa ngazi ya advanced level katika shule ya madungu secondary school na nimesoma combination of pcm (physics, chemistry and advanced mathematics ) mnamo mwaka 2019/2020 to 2021
and i have successfully enrolled in advanced level education at madungu secondary school and have studied the combination of pcm (physics, chemistry and advanced mathematics) in 2019/2020 to 2021
最后更新: 2021-07-25
使用频率: 1
质量:
参考:
elimu ya watu wazima, elimu ya rasilimali watu, masomo ya utumizi uchumi, masomo ya mawasiliano na vyombo vya habari, masomo ya uchumi wa kimataifa na masomo ya sheria bado si kipaumbele cha serikali; na hivyo hakutakuwepo msamaha wa ada ya masomo kwa ajili ya wanafunzi watakaosoma masomo yaliyotajwa.
adult education, applied economic studies, communication and media studies, human resources studies, international economics and law are still not the government's favorites; there would be no tuition-free slots allocated for them.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
ripoti ya mwaka 1974 ya world bank ilifafanua elimu rasmi kuwa yafuatayo:elimu rasmi: mfumo wa elimu weny utaratibu uliopangwa, kimuda na ulio na viwango, unaoanza katika ngazi ya shule ya msingi hadi katika chuo kikuu, pamoja na masomo ya kawaida ya kiakademia, mipango anuwai maalum na taasisi kwa ajili ya mafunzo ya muda mzima ya kiufundi na kitaaluma.idadi kubwa ya data iliyokusanywa ya idadi ya wanafunzi na wasomaji walioathirika na covid-19 imehesabiwa kulingana na kufungwa kwa mifumo rasmi ya shule.
a 1974 report by the world bank defined formal education as the following:formal education: the hierarchically structured, chronologically graded ‘education system’, running from primary school through the university and including, in addition to general academic studies, a variety of specialised programmes and institutions for full-time technical and professional training.the majority of data collected on the number of students and learners impacted by covid-19 has been calculated based on the closure of formal education systems.
最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:
参考: