您搜索了: kufanyiwa unyama (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

kufanyiwa unyama

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

vitu unavyopenda kufanyiwa na mtu

英语

最后更新: 2020-12-15
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

usichotaka kufanyiwa usimfanyie mtu mwingine

英语

don't want to do anything for someone else

最后更新: 2023-11-19
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

bado, hata hivyo, kuna mengi ya kufanyiwa kazi.

英语

still, much remains to be done.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

linashambulia ukosekanaji mkubwa wa ajira, unyama wa polisi na ufisadi.

英语

it attacks mass unemployment, police brutality and corruption.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

watumiaji wa facebook walielezea wasiwasi wao kuhusu unyama unaoongezeka wa polisi.

英语

facebook users expressed worry about the increasing police brutality.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mmoja wao, tina kinuthia, anaeleza namna wazo lilivyozaliwa na kufanyiwa kazi:

英语

one of them, tina kinuthia, explains how the idea eventually took shape:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

na sasa kwa sababu chanjo inaelekea kufanyiwa majaribio, sisi hawa hawa tunakuja na hisia zetu.

英语

and now that a prospective vaccine is about to go through trials, here we go again with our conspiracy theories.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

afisa mmoja wa ngazi za juu wa umoja wa mataifa amelaani unyama huo na kutaka uchunguzi ufanywe.

英语

a top u.n. humanitarian official has condemned the violence and demanded an investigation.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

@simsimt: nilitishiwa kufanyiwa vitendo vya ngono, mara nyingi tu katika siku hiyo.

英语

@simsimt: i was threatened w/ sexual assault/abuse numerous times during that day.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

hadi wiki iliyopita, ofisi yetu ya dc ilihamisha kazi zake ili kuweza kufanyiwa mbali kulingana na maagizo yaliyoshirikiwa na san francisco.

英语

as of last week, our dc office moved to a fully remote setup in line with the guidance shared with san francisco.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kuna utaritibu maalum wa uingizaji katika umoja wa nchi za ulaya wa chakula kilichotengenezwa kutoka kwa wanyama, hauna budi kufanyiwa uchunguzi wa makini na waganga wa wanyama

英语

there are strict procedures and veterinary control on the introduction of products of animal origin into the european union for official controls

最后更新: 2014-02-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

hata hivyo, baada ya kufanyiwa upembuzi zaidi imeonekana kwamba hakuna mabadiliko yaliyofanyika kwenye mswada huo, na bado uko vilevile kama ulivyowasilishwa mwaka 2009.

英语

however, under further scrutiny it has been noted that no changes have been made in the bill, and it is still exactly the same one presented back in 2009.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ni makosa, kuwaachia watoto wao wasikilize miziki iliyojaa ngono na uchafu, kunawakuza watoto kabla ya wakati wao na kuwafundisha vitendo vya ngono na unyama.

英语

to expose their young children to lewd and explicit music, thus making them prematurely ready and aware of sex and violent acts, is wrong.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

hata hivyo, imeripotiwa kwamba hali ya obilale sasa imetengemaa baada ya kufanyiwa upasuaji nchini afrika ya kusini, ingawa bado anaendelea kupumua kwa kutumia mashine maalumu ya kusaidia upumuaji.

英语

obilale is reported to be in stable condition after undergoing surgery in south africa, although he is still breathing with the assistance of a respirator.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kwa hiyo, watunga sera, vyama vya kiraia na wafanyakazi walio mstari wa mbele wanahitaji kufanyiwa tathmini ya hatua za kukabiliana na aina zote za ukatili dhidi ya wanawake hakuna jambo bila kujali ambapo inafanyika.

英语

therefore, policy makers, civil society and frontline workers need to review measures to tackle all forms of violence against women no matter where it takes place.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

huko italia tarehe 17 machi 2020, takis biotech, kampuni ya bioteknolojia ya italia ilitangaza kuwa watakuwa na matokeo vipimo kwa wanyama mwezi wa aprili 2020 na chanjo ya mwisho iliyoteuliwa inaweza kuanza kufanyiwa vipimo wakati wa majira ya kupuputika kwa majani.

英语

in italy on 17 march 2020, takis biotech, an italian biotech company announced they will have pre-clinical testing results in april 2020 and their final vaccine candidate could begin human testing by fall.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

afisa huyo wa jeshi alimwamuru esteban kushuka garini ili afanyiwe upekuzi, kitendo ambacho esteban alikipinga akisema asingeruhusu kufanyiwa hivyo, akisema kwamba ‘yeye si mhuni’.

英语

the agent ordered esteban to get off the vehicle in order to search him, to which the dissident replied that he was not going to allow, considering that he 'is not a delinquent'.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

baada ya jaribio, wafanyakazi huamua dawa zinazopatikana hospitalini, tovuti ya who huchagua mhusika aliyelazwa hospitalini bila utaratibu kuwa mmoja wa kufanyiwa majaribio ya dawa au kwa kiwango cha utunzaj wa hospitali kwa ajili ya matibabu ya covid-19.

英语

after the trial staff determines the drugs available at the hospital, the who website randomizes the hospitalized subject to one of the trial drugs or to the hospital standard of care for treating covid-19.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

@bagadood: 1tamko la 10 la kifalme: hatua ya kuwapandisha vyeo askari jeshi & polisi wote wanaostahili kufanyiwa hivyo #sakingspeech #saudimataleb

英语

@bagadood: 10th royal decree: a step to promote all military & police officers who deserve a promotion #sakingspeech #saudimataleb

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,776,426,272 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認