您搜索了: kuitumia (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

kuitumia

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

sijawahi kuitumia tangu wakati huo kwa hiyo kila kinachoibukia leo ni bandia.

英语

i have not used it since then so everything else that is propping up now is fake.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

unanitumia tu dola za 100 mimi tunatuma dola za 1000 kwako ahadi nataka kuitumia kukusanya pesa

英语

you just send me 100 dollars i we send 1000 dollars for you i promise want to use it to collect money

最后更新: 2022-07-31
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

wao ndio wanatangaza dhana ya "kuingiliwa na wageni" na kuitumia vibaya kukandamizaji

英语

they have promoted the idea of "foreign interference" and then abused it to crackdown

最后更新: 2023-11-07
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

alama-funguo za video hiyo inapatikana ili uweze kuitumia katika wavuti yoyote.

英语

the embed code for this video is available so you may also host the livestream on any website.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

waasi hao wamewahi kuitumia mbuga hiyo huko nyuma lakini walikuwa hawajawahi kuitumia kama makao yao makuu.

英语

the rebels have used the park as a base but had never seized its headquarters before.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

na njia pekee anayoweza kuitumia kupata umaarufu huo anaoutaka kwa udi na uvumba, anafanya na kusema mambo yatakayowachanganya watu.

英语

and, the only way he can get the attention he so desperately desires, he acts and says things that are controversial.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ameafanya uamuzi wa kuitumia haki hii, kwa kuwa kuzungumza dhidi ya ukandamizaji ndio kupambana na hali ya kutokujali na kutochukua hatua.

英语

he has made the choice to use this right, because speaking out against injustice is to fight bystander apathy.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

haihitaji kuwa na akili nyingi kugundua kuwa akaunti hiyo unaendeshwa na majenerali bandia wa pf kwenye mtandao wa facebook wanaotaka kuitumia kukusanya takwimu.

英语

doesn’t take you to be a genius to figure out this are accounts operated by the pf fake generals on facebook that want to use it to collect data.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kama huna kamera ghali na muda wa ziada kusafiri mapaka alaska, namna nyingine unayoweza kuitumia ni kusoma uzoefu wa watu walio mstari wa mbele.

英语

if you don't have expensive cameras and spare-time to journey to alaska, another approach would be to read the experiences of people on the frontline.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kwa kuitumia hiyo amri, dhambi ilipata fursa ya kuamsha kila aina ya tamaa mbaya ndani yangu. maana, bila sheria dhambi ni kitu kilichokufa.

英语

but sin, taking occasion by the commandment, wrought in me all manner of concupiscence. for without the law sin was dead.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

"elimu ni silaha yenye nguvu kuliko zote unayoweza kuitumia kubadilisha dunia." -nelson mandela pumzika kwa amani

英语

"education is the most powerful weapon which you can use to change the world." ~nelson mandela rip. — chris (@valandir) december 6, 2013

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

matokeo yake watu wengi kutoka sehemu mbalimbali duniani wanatengeneza video, wengine kwa mara ya kwanza, kama njia ya kutangaza lugha zao mtandaoni na kuwafanya watu wengine kuitambua na kuitumia.

英语

the outcome has been a wide range of people around the world who are producing videos, some for the first time, as a way to proudly share their language online and encouraging more to do the same.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kila dawa iliyoko kwenye soko ina madhara yake na kabla ya kuifanya itimike kwenye tiba lazima kwanza uthibitike kuwa salama kwa wanyama kwanza na kisha inafanywa isifanye kazi kitaalam kabla ya kuanza kuitumia, ili isije ikasababisha ugonjw ahuo.

英语

every single drug in the market has a side effect and before they are progressed to clinical trial phase they have to pass safety tests in animals first and the vaccine is deactivated before administering, so it cannot cause disease.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

tafafhali nawaomba muweze kutufikiria, kwenye business ya sisi wote si vema kutuchosha hivi! yaani sielewi mpaka sasa hii mchezo! note. kila service ambayo munatu propose najaribu kuitumia kama inavofaa, sijui kwa nini madharau haya yameingia kwenye services za kwenu! ila tafadhali nahitaji jibu mbiyo iwezekanavyo kabla sijaja kwenye ofisi yenu kuu kampala hapa! si kwa ubaya ila hata ninyi wenyewe mnaelewa kwa nini sifurahi hata! atleast kutujulisha before kama network si nzuri kuliko kutufanya

英语

最后更新: 2023-12-01
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,738,713,539 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認