您搜索了: kumuamini (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

kumuamini

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

na mwenye kumuamini mwenyezi mungu huuongoa moyo wake.

英语

and whoever believes in allah - he will guide his heart.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

basi mwenye kumuamini mola wake mlezi basi haogopi kupunjwa wala kudhulumiwa.

英语

and whoever believes in his lord will not fear deprivation or burden.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

huyu si lolote ila ni mtu anaye mzulia mwenyezi mungu uwongo, wala sisi sio wa kumuamini.

英语

"he is only a man who has invented a lie against allah, but we are not going to believe in him."

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

na mwenye kumuamini mwenyezi mungu huuongoa moyo wake. na mwenyezi mungu ni mjuzi wa kila kitu.

英语

he guides the heart of whosoever believes in god; and god has knowledge of everything.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

nasi tulipo usikia uwongofu tuliuamini. basi mwenye kumuamini mola wake mlezi basi haogopi kupunjwa wala kudhulumiwa.

英语

'and as for us, since we have listened to the guidance, we have accepted it: and any who believes in his lord has no fear, either of a short (account) or of any injustice.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

haufiki msiba wowote ila kwa idhini ya mwenyezi mungu. na mwenye kumuamini mwenyezi mungu huuongoa moyo wake.

英语

no affliction can befall man but by god's permission -- he guides the hearts of those who believe in him: god has knowledge of all things --

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

na mwenye kumuamini mwenyezi mungu, na akatenda mema, atamwingiza katika bustani zipitazo mito kati yake, wadumu humo milele.

英语

and whoever believes in allah and does righteousness - he will admit him into gardens beneath which rivers flow to abide therein forever.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

na mwenye kumuamini mwenyezi mungu, na akatenda mema, atamwingiza katika bustani zipitazo mito kati yake, wadumu humo milele. mwenyezi mungu amekwisha mpa riziki nzuri.

英语

and those who believe in allah and work righteousness, he will admit to gardens beneath which rivers flow, to dwell therein for ever: allah has indeed granted for them a most excellent provision.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

je, mnafanya kuwanywesha maji mahujaji na kuamirisha msikiti mtakatifu ni sawa na mwenye kumuamini mwenyezi mungu, na siku ya mwisho, na akapigana jihadi katika njia ya mwenyezi mungu?

英语

count ye the slaking of a pilgrim's thirst and tendance of the inviolable place of worship as (equal to the worth of) him who believeth in allah and the last day, and striveth in the way of allah?

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mtume anaye kusomeeni aya za mwenyezi mungu zinazo bainisha, ili kuwatoa walio amini na wakatenda mema kutoka gizani kuwapeleka kwenye nuru. na mwenye kumuamini mwenyezi mungu, na akatenda mema, atamwingiza katika bustani zipitazo mito kati yake, wadumu humo milele.

英语

an apostle who recites to you the clear communications of allah so that he may bring forth those who believe and do good deeds from darkness into light; and whoever believes in allah and does good deeds, he will cause him to enter gardens beneath which rivers now, to abide therein forever, allah has indeed given him a goodly sustenance.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,792,754,323 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認