您搜索了: kuokolewa (斯瓦希里语 - 英语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

kuokolewa

英语

savior

最后更新: 2012-08-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kituo hiki pia kinatoa matunzo kwa tembo waliojeruhiwa na kisha kuokolewa.

英语

the center is also a sanctuary for rescued elephants.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ghina ni mzima tena mara baada ya kuokolewa kutoka chini ya kifusi.

英语

ghina is alive again after she was pulled from under the rubble.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

picha ya kwanza inaonyesha nahodha wa mashua akiwa miongoni mwa kundi la kwanza kuokolewa.

英语

the first photo shows the boat's captain amongst the first group to be rescued.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa bahati wenzetu hao wako salama lakini wananing’inia kwenye miti iliyo juu ya vilima wakisubiri kuokolewa na helikopta!

英语

luckily all our guys are safe but hanging from trees and at hilltops waiting to be rescued by helicopter!

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

muwe kama mimi; najaribu kuwapendeza wote kwa kila njia, bila kutafuta faida yangu mwenyewe ila faida ya wote, wapate kuokolewa.

英语

even as i please all men in all things, not seeking mine own profit, but the profit of many, that they may be saved.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

safi ni maarufu katika kanda, kama ni rahisi kufanya, inaweza kuliwa na karibu chakula chochote au kama vitafunio yenyewe, na inaweza kuokolewa kwa matumizi ya baadaye

英语

clean is popular in the region, as it is easy to do, it can be eaten with almost any food or as a snack itself, and can be saved for future use

最后更新: 2018-04-03
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kama yasemavyo maandiko matakatifu: "ni vigumu kwa watu waadilifu kuokolewa; itakuwaje basi kwa wasiomcha mungu na wenye dhambi?"

英语

and if the righteous scarcely be saved, where shall the ungodly and the sinner appear?

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

pia alilalamika kuwa makazi ya ridge yangeweza kuokolewa kama nyumba ingekuwa na upatikanaji wa maji wa uhakika kwani wakati wazima moto walipowasili, walikuwa na maji kidogo tu kwenye mitungi yao na walifikiri kuwa wangeliweza kupata maji zaidi pale nyumbani.

英语

she also complained that the ridge residence might have been saved from the fire if the house had a constant flow of water because when the fire fighters arrived, they had little water in their tanks and thought they could get some more water from the house.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

@sayeedawarsi: ni zaidi ya ajabu; tukiio la kutia moyo kwa mwanamke mdogo kuokolewa baada ya siku 17 kupita tokea jengo la savar kuporomoka.

英语

@sayeedawarsi: extraordinary & uplifting scenes of a young women rescued 17 days after #savar building collapse.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

basi, watu wengine walifika antiokia kutoka yudea wakaanza kuwafundisha wale ndugu wakisema, "kama hamtatahiriwa kufuatana na mapokeo ya sheria ya mose, hamtaweza kuokolewa."

英语

and certain men which came down from judaea taught the brethren, and said, except ye be circumcised after the manner of moses, ye cannot be saved.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

3) tangazo la "kaeni mlipo" wakati meli ilianza kuzama4) wafanyakazi na nahodha kuokolewa kwanza 5) wito wa dhiki ulifanywa saa 8:58 na abiria 6) mvuvi mdogo kuona kuna kitu kisicho sawa na sewol saa 7:30.

英语

3) announcing "stay put" while the ship started tilting 4) the crew and captain evacuated first 5) the distress call was made at 8:58 by a passenger 6) local fisherman noticed there is something wrong with sewol at 7:30.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,747,343,883 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認