您搜索了: kusisitiza (斯瓦希里语 - 英语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

kusisitiza

英语

emphasize

最后更新: 2024-04-11
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kusisitiza means what?

英语

what does it mean to be stressed?

最后更新: 2024-04-11
使用频率: 2
质量:

斯瓦希里语

ningepedna kusisitiza kwamba sina hatia.

英语

i would like to reaffirm that i am innocent.

最后更新: 2024-04-11
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mwanablogu parsifal pontes vilevile alikosoa utoaji huo wa pasipoti za kidiplomasia kwa kusisitiza:

英语

blogger parsifal pontes also criticized the issuing of diplomatic passports by emphasizing:

最后更新: 2024-04-11
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

matukio haya kusisitiza haja ya haraka ya kuweka watoto nje ya njia ya madhara ili kuhakikisha usalama wao.

英语

these incidents underscore the urgent need to keep children out of harm’s way in order to ensure their safety.

最后更新: 2024-04-11
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hata hivyo, serikali kuu pamoja na mamlaka za majiji walionesha msimamo wao kwa kusisitiza kutokubadili ongezeko hilo la nauli.

英语

nonetheless, both the state and city governments confirmed they will maintain fare increase.

最后更新: 2024-04-11
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kama lengo la kifungo ni kuwasahihisha waliohukumiwa, basi kusisitiza kusoma na elimu yapaswa kuwa ni nyenzo ya kufikia lengo hilo.

英语

if the objective of imprisonment is to correct the convicted ones, then to encourage reading and education should be one of the tools to meet the objective.

最后更新: 2024-04-11
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tangazo likionesha kusisitiza msimamo wa kanisa katoliki katika jiji la tandag ambapo zaidi ya watu wa jamii ya lumad 2,000 walioyakimbia makazi yao walipatiwa hifadhi.

英语

the banner reflects the stand of the catholic church in tandag city where more than 2,000 lumad evacuees have sought shelter.

最后更新: 2024-04-11
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

“awb ipo pamoja na familia ya eugene terreblanche na inataka kusisitiza kuwa tukio hilo lilichochewa na malema na lilikuwa la kisiasa kama ilivyowekwa dhahiri katika facebook”

英语

"the bwb sympathizes with the family of eugene terreblanche and wants to point to the fact that this deed was politically motivated by melama as revealed on facebook"

最后更新: 2024-04-11
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

aliripotiwa kusisitiza "hali tete" wa hali ya ndani na ya kimataifa na kutoa wito kwa kila mmoja "kuelewa hali tete iliyopo".

英语

he has reportedly stressed the "complexity" of the internal as well as the international affairs and called for, "understanding of these complexities by everyone."

最后更新: 2024-04-11
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

kusisitiza kwa #salvakiir kwamba yaliyotokea yalikuwa mapinduzi,kunamfanya apoteze uaminifu na kunasababisha nchi ya #sudankusini kupoteza huruma + uungaji mkono wa nje.

英语

by insisting it was a coupe, #salvakiir is fast loosing credibility and external support + sympathy for #southsudan — gaafer a. ali (@gaaferaali) december 19, 2013

最后更新: 2024-04-11
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

jukwaa la sayansi duniani (wsf) linajumuisha mamia ya wanasayansi kutoka duniani kote wiki hii nchini brazil, kujadili wajibu wao katika karne ya 21 na kusisitiza umuhimu wa ushauri wa kisayansi katika maamuzi ya kisiasa na kiuchumi.

英语

the world science forum (wsf) gathers hundreds of scientists from all around the world this week in brazil, to discuss their role in the 21st century and to emphasize the importance of scientific advice in political and economical decisions.

最后更新: 2024-04-11
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

grabar kitarović ambaye ni mwanachama wa chama cha umoja wa demokrasia ya raia wa crotia, chama kilichosimamia kupatikana kwa uhuru wa nchi hii mwaka 1992, amenuia kurudisha kile alichokiita "hulka ya watu wa crotia", pamoja na kusisitiza mambo ya "kiutamaduni".

英语

a member of the croatian democratic union, the party instrumental in croatia gaining independence in 1992, grabar kitarović is eager to bring what she has called "the croatian spirit" back, as well as re-enforce "traditional" values.

最后更新: 2024-04-11
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,729,242,069 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認