来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
naji kuta na kupenda gafrula
i like the way you talk to me
最后更新: 2024-02-08
使用频率: 1
质量:
basi watakuja kuta malipo ya ubaya.
but they will meet deception.
最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:
ndio maana kuta za yericho zilianguka!
that’s why the walls of jericho fell!
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
watu wa yeriko walijiangushia kuta wenyewe ili kuzikimbia zile kelele!
the people of jericho broke the walls down on themselves to escape the blaring!
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
sauti ya vuvuzela inaudhi na ndiyo maana kuta za yeriko zilianguka!:
the vuvuzela sound is annoying and that is why walls of jericho fell!:
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
msanii wa uchoraji kuta, rei blinky akiwa kazini huko san pedro sula, honduras.
graffiti artist rei blinky at work in san pedro sula, honduras.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
aidha, kuta zote zilizoonekana kuwa na ishara yoyote ya kushinikiza kuachiwa kwa wafungwa, zilifutwa mara moja.
also, walls that had any sort of expressions demanding the release of the prisoners were painted right away.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
haitoshi kubandika mabango ya ernesto che kwenye kuta zake ukadhania kutafakari ama kuelewa kile kinachostahili kufanywa ili kuachana na yote ili kuwa na siku njema.
it's not enough to brandish posters of ernesto che on our walls to pretend to imagine or understand what it takes to lay down absolutely everything for a better day.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
binti wa waziri mkuu wa kwanza wa sudani huru alipeperusha bendera nusu mlingoti, alifunika kuta kwa kitambaa cheusi kuandamana #sudanref
daughter of independent #sudan's first prime minister puts flag at half staff, covers walls in black sash to protest #sudanref
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
hata kama ni nje ya kuta za gereza - hauko huru kamwe; mtu yeyote mwenye fikira huru anaweza kukamatwa.
even if being outside of the prison walls - you are never truly free; any freethinking individual may be arrested.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
mkutano wa sita wa uandishi wa kiraia unatupeleka kwa mara ya kwanza katika bara la kusini mashariki asia, ambapo tutafanya majadiliano ya wazi pamoja na warsha kwa siku mbili na wanablogu, wanaharakati na wanateknolojia kuhusu hali ya uandishi wa kiraia, ushiriki wa mtandao wa intaneti ndani ya kuta makao makuu ya jimbo la cebu jijini cebu.
our sixth citizen media summit takes us for the first time to south east asia, where we'll convene two days of public conversations and workshops with bloggers, activists and technologists about the state of citizen media, the internet and online participation within the venerable walls of the cebu provincial capitol in cebu city.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
一些相关性较低的人工翻译已被隐藏。
显示低相关性结果。