来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
kampeni ya kujipiga picha nchini myanmar imeonekana kukuza kuvumiliana na kuongeza urafiki wakati ambapo kuna ongezeko la matukio ya watu kutukanana, kubaguana na ghasia za kijamii katika maeneo mengi ya nchi hiyo.
a selfie campaign in myanmar promotes tolerance and friendship amid rising cases of hate speech, discrimination, and communal violence accross the country.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
wakati huo huo, kuna matukio ya kusambaa kwa maneno ya kashfa na kutukanana sambamba na unyanyasaji kwenye mitandao ya kijamii nchini humo, hali inayofanya kuwepo kwa mazingira ya kutokuvumiliana pamoja na ubaguzi wa rangi.
at the same time, online hate speech and harassment has been widespread on myanmar's social media, creating an atmosphere intolerance and racism.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量: