您搜索了: kuungwa (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

kuungwa

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

mseto wa upo unahitaji kuungwa mkono kwa viti 10 tu.

英语

the upa alliance now needs to garner support for only about 10 seats.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mpaka wakati huo, na hata zaidi, watahitaji kuungwa mkono kadri inavyowezekana.

英语

until then, and beyond, they will need all the support they can get.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kitendo cha kuruhusu mwanae achunguzwe na mamlaka za kisheria zinazohusika zikishirikiana na polisi ni cha kuungwa mkono.

英语

subjecting his own son to dec and police is commendable.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ni kwamba #mubarak anamwiga yesu katika jitihada zake za kutafuta kuungwa mkono na serikali ya kijeshi.

英语

@msentropy: #mubarakconspiracy i'll start. #mubarak is just imitating jesus in a bid for support from copts. he will rise again. #creepingsectarianism one of mubarak's parody accounts also tweeted:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

-kwa mara ya kwanza waandamanaji wa kiwango hiki hawakuhitaji kuungwa mkono na vyombo vya habari vya kale kwa ajili ya uhamasishaji.

英语

- for the first time protests of this scale did not need the support of mass media for mobilization.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

paula anasema kwamba pamoja na kuungwa mkono ambako waafrika wanakutegemea kutoka nje, vita kwa ajili ya tembo itabidi ianze na waafrika wenyewe.

英语

paula points out that inspite of all the support that africans can expect from outside, the battle for the elephant will have to start with africans.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

lakini marejeo hayana umuhimu kwangu kwa sababu nimekuwa nikiishi kwenye zimwi hili kwa mwaka sasa, na ninajivunia kile tulichokifanya juni 30 na kwa kuungwa mkono na jeshi.

英语

but references are unnecessary for me because i have been living in this nightmare for a year, and i am proud of what we have done on june 30 and of the support of our military.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ukijulikana kama manilakbayan 2015, msafara wa watu ambao pia una lengo la kutafuta kuungwa mkono na jamii ya kimataifa katika kukomesha ukiukwaji wa haki za bianadamu unaofanywa na majeshi ya nchi dhidi ya jamii ya lumad.

英语

dubbed the manilakbayan 2015, the people’s caravan also seeks public support to end the human rights abuses committed by state forces against the lumad.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wakati kuungwa mkono kwa obama kati ya waarabu kumekuwa kukipungua katika miezi michache iliyopita kufuatia uteuzi wake wa baraza la mawaziri na ukimya wake kuhusu mashambulio ya israeli huko gaza, wanablogu wa mashariki ya kati na afrika ya kaskazini wanayo mengi ya kusema.

英语

while arab support of obama has been waning over the past few months following the selection of his cabinet and his silence over israel's attacks on gaza, across the middle east and north africa bloggers still have plenty to say.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

nchini misri, hukumu hiyo, moja ya hukumu kubwa kabisa ya kifo kuwahi kutolewa katika historia ya leo, ililaaniwa au kuungwa mkono, kutegemeana na mtazamo wa kisiasa wa aliyetoa maoni.

英语

in egypt, the sentence, one of the largest death sentences in modern history, was both rebuked or lauded, depending on which end of the political spectrum the reactions came from.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

bw mousavi, ambaye ni kiongozi wa upinzani, hivi karibuni alilazwa hospitalini baada ya kupata matatizo ya moyo kufuatia miezi 15 ya kifungo cha nyumbani ...matamanio ya kidemokrasi na madai ya haki ya watu wa iran yanastahili kuungwa mkono na jumuiya ya kimataifa, ikiwemo umoja wa mataifa na katibu wake mkuu.

英语

mr mousavi, the opposition leader, was recently hospitalized due to heart complications after 15 months of house arrest...the democratic aspirations and the just demands of the iranian people deserve the support of the international community, including the united nations and the secretary general.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,745,712,662 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認