您搜索了: kuzorota (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

kuzorota

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

mgomo huo umekuja kama hatua ya kupinga kukua kwa kasi kwa ukosefu wa ajira na kuzorota kwa maendeleo ya jiji hilo.

英语

the protest is against rising unemployment and neglecting the maintenance of the city.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wa-zimbabwe wengi walitarajia kuwa huenda kuzorota kwa afya yake pamoja na umri wake mkubwa kungemlazimu kuachia madaraka.

英语

many zimbabweans hoped that his ill health and age would force him to leave power.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wakati hali ya utoaji wa huduma za afya inazidi kuzorota, hadi sasa hakuna hatua zozote zilizokwisha kuchukuliwa ili kukabiliana na tatizo hili.

英语

the health record is appalling, yet there is no shortage of initiatives to change the situation.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hali ya mambo nchini venezuela yaendelea kuzorota, huku pakiwa na maandamano na mikusanyiko nchi nzima ayalisababisha vifo vya watu kumi na mamia kujeruhiwa mpaka sasa.

英语

the situation in venezuela continues to be extremely tense, with enormous marches and gatherings around the whole country that have left ten people killed and hundreds wounded.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

awali, serikali ilikanusha tetesi zilizokuwa zikienezwa na baadhi ya mawaziri kuhusiana na kuzorota kwa afya yake, ikisema kwamba sata alikuwa imara na akiendelea na kazi.

英语

in the past, his administration has denied rumors by cabinet members about his declining health, maintaining that sata was fine and busy at work.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

: tovuti ya habari, zambian watchdog, iliwajulisha wananchi kuhusiana na kuzorota kwa afya ya rais michael sata kwa zaidi ya miaka miwili kabla ya kifo chake.

英语

: an online publication, zambian watchdog, alerted the nation to president michael sata’s failing health more than two years before he passed on.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

pamoja na juhudi zinazotokana na serikali za kuhamasisha upya sekta hiyo , tafiti zinazofanyika nchini ufaransa zina hali mbaya ukilinganisha na zile za majirani zao wa nchi za ujerumani na uingereza na kwa hakika zinaonyesha dalili za kuzorota na uwezekano wa kupotea kabisa.

英语

despite the resulting efforts of the government to re-energise the sector , french research is suffering in comparison to its anglo-saxon neighbours and is showing signs of running out of steam.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

@tounisiahourra: mgomo mkubwa jijini thala (jimbo la kasserine) leo kupinga kuongezeka kwa ukosefu wa ajira na kuzorota kwa maendeleo ya jiji hilo.

英语

@tounisiahourra:a general strike in thala (province of kasserine) today in protest against the rising rate of unemployment and neglecting the maintenance of the city.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,778,208,135 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認