您搜索了: kwenye eneo la mezani wakati ghafla mbwa (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

kwenye eneo la mezani wakati ghafla mbwa

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

alikuwa kwenye eneo la burri karibu tu na mtaa wa nile:

英语

he was in burri area next to nile street :

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wale waliosikia habari za maandamano hayo walijitokeza kwenye eneo la tukio.

英语

those who heard about the protest made their way there.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baada ya waandamanaji kutawanywa, yousif al mahdi alikuwa kwenye eneo la tukio na

英语

after the protests were disbanded, yousif al mahdi was on the scene and tweeted:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

berkut wanaturushia risasi hovyo na wanarusha mawe kutokea kwenye eneo la maduka ya globus.

英语

berkut is shooting and throwing stones from globus .

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wakati wa tishio la tsunami, endoka kwa mguu nenda kwenye eneo la karibu zaidi kukutania.

英语

during a tsunami alert, evacuate by foot and go the nearest meeting point.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mwisho wake barabara hizo mbili zilizopo kwenye eneo la kiuchumi la jiji hilo zilifungwa mwendo wa saa 9 mchana.

英语

eventually the two main roads at the center of the financial district were blocked at around 3 p.m.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

maandamano yaliifunga barabara kuu ya “autopista del sol” inayoelekea kwenye eneo la kitalii acapulco.

英语

the protest blocked the highway “autopista del sol” which leads to the tourist area of acapulco.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

haitham makkawi alikuwa kwenye eneo la tukio na alidai kwamba wakaazi wa al-daim wamejaza eneo hilo:

英语

haitham makkawi was on the ground and claimed that al-daim residents have taken over the scene:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

inatarajiwa kwamba atakuwa amehamishiwa kwenye makao makuu ya mahakama ya kiraia kwenye eneo la jeshi la polisi huko al qaboun.

英语

it is expected that he has been transferred to the civil court headquarters at the military police in al qaboun area.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa kuwa dhahama hiyo ilitokea mbali na maeneo yenye makazi ya watu, ilichukua muda mrefu kwa wanahabari kuwasili kwenye eneo la ajali.

英语

since the tragedy happened far from any major populated area, it took several hours for reporters to arrive on the spot.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

jamii zilikuwa zihamishwe kutoka kwenye eneo la mbuga kwenda kwenye eneo ambalo kabla ya hapo lilikuwa limetolewa kwa procana kwa ajili ya kuzalisha miwa.

英语

communities were to be resettled from the park area to the lands then subsequently conceded to procana for sugarcane production.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

bango linasomeka: "mapinduzi yanaendelea; morsi atarudi," lilionekana kwenye eneo la giza asubuhi ya leo.

英语

a banner which reads: "the revolution continues; morsi will be back," seen in giza this morning.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

alichapisha makala yake ya kwanza saa 4:11 za usiku – nusu saa baada ya ajali – pale pale kwenye eneo la ajali.

英语

she published her first post at 22:11 - a half an hour after the crash - right from the place of the tragedy.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

@seldeeb: watu kwenye eneo la tukio walifanywa kituko na wavamizi hao na wengine wakafunga maduka yao kwa sababu ya hali kuonekana kutokuwa shwari.

英语

@seldeeb: the people in the area were freaked out by mob &some shut their shops because of how violent this looked #endsh.finally 1shop gave shelter

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

hata hivyo, serikali ilionekana kufanya vibaya kwenye eneo la kupambana na ufisadi, huku asilimia 69 ya waliohojiwa wakifikiri kwamba mamlaka zinazohusika hazikuwa zikishughulikia tatizo la ufisadi inavyotakiwa.

英语

however, the government did register poor marks on fighting corruption, with 69 percent of respondents thinking that authorities were handling corruption badly or very badly.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

asubuhi ya leo, kikundi cha magaidi wenye silaha waliingia kwa nguvu kwenye kituo cha kibiashara cha westgate kwenye eneo la parkland, jijini nairobi na kusababisha ghasia zisizo za kiungwana kwa wateja na wafanyakazi.

英语

this morning, a group of armed terrorists forcefully entered the westgate mall in nairobi’s parklands area and unleashed senseless violence upon customers and workers.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baada ya cnn kukosea na kuiweka tanzania kwenye eneo la uganda na nairobi kuonekana iko nigeria kwenye ramani ya afrika mashariki, blogu ya africa is a country blog ilishauri kwamba watu wazime televisheni zao ili waweze kuelewa shambulio hili:

英语

after cnn wrongly placed tanzania in uganda and nairobi in nigeria on a map of east africa, the africa is a country blog suggested that people switch off television news to make sense of the attack:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baada ya kukutana kwenye sanamu ya simon bolivar (baba wa taifa la venezuela) iliyoko kwenye eneo la polanco, waandamanaji walitembea kupitia kwenye mtaa wa reforma wakielekea mahali panapoitwa malaika wa uhuru.

英语

after meeting at the simon bolivar (venezuela's founding father) obelisk in the polanco area, demonstrators walked down the main reforma avenue towards the angel of independence.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

askari arobaini na wanne wa jeshi la polisi la ufilipino - kikosi maalum (pnp-saf) waliuawa kwenye operesheni ya kupambana na ugaidi mapambano yaliyochukua masaa 11 kati ya vikosi vya serikali na waasi wa moro wanaotaka kujitenga na wanaofanya shughuli zao kwenye eneo la mamasapano.

英语

forty-four members of the philippine national police-special action force (pnp-saf) were killed in a botched-up counter-terror operation which became an 11th-hour pitched battle between state forces and moro secessionist rebels operating in the mamasapano area.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

一些相关性较低的人工翻译已被隐藏。
显示低相关性结果。

获取更好的翻译,从
7,772,992,573 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認