您搜索了: leo tumepata laki moja ya msaada kwa ajili ya dawa (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

leo tumepata laki moja ya msaada kwa ajili ya dawa

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

kwa hiyo heffernan aliwapa watumishi hao nakala moja ya picha zao kwa ajili ya matumizi yao binafsi.

英语

so heffernan gave staff members a copy of their portrait to keep.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kukosekana kwa msaada kwa ajili ya amina kutoka kwa chama cha upinzani kisicho cha kidini nchini tunisia, kulikosolewa.

英语

the secular tunisian opposition's lack of support to amina, was met with criticism.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

picha za sata anayedaiwa kuwa mgonjwa ziliposambaa mtandaoni, tovuti moja ya habari mtandaoni, zambian watchdog, iliripoti kwamba rais amepelekwa israel kwa ajili ya matibabu.

英语

when pictures of a seemingly sick sata went viral on social media, one online publication, the zambian watchdog, reported that the president had been evacuated to israel for treatment.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

changia ili usaidie watoto kupata mavazi, viatu na mablanketi kwa watoto, toa msaada kwa vitu muhimu vitakavyowasaidia watoto wakati wa baridi, hususani kwa ajili ya watoto wachanga.

英语

donate to save the children to provide warm clothes, shoes, and blankets for children providing winter aid packages specially-made for infants.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

je kampuni ya asi global si moja ya kampuni za kimarekani zinazopokea fedha kwa ajili ya "mpango wa merida"… na hili linatuambia nini juu ya utendaji kazi wa wataalamu wake wa ukufunzi?

英语

is asi global one of the u.s. companies receiving funding for “plan merida”… and what does this say about the competence of the trainers?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

moja ya sababu alexander alikuwa nchini tajikistan mbali na maslahi yake kitaalamu katika eneo hilo, ilikuwa kwa sababu mkataba wake ulikwisha mwezi aprili na alihitaji kufanya kazi kujiongezea kipato kwa ajili ya familia yake wakati wa msimu wa kiangazi.

英语

one of the reasons alexander was in tajikistan aside from his scholarly interest in the region, was because like all tas his contract ran out in april and he had to provide income for his family over the summer.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tulipokuwa tukisafiri kwa gari kutoka katikati ya mji kwenda katika moja ya makanisa ambapo mtu unaweza kuona mafuvu na mali za watutsi waliouwawa, tuliwapita wafanyakazi fulani waliokuwa wakichimba mitaro kandokando ya barabara maalumu kwa ajili ya kutandaza nyaya za mawasiliano ya intaneti.

英语

as we drove out of town to one of the churches where you can still see the skulls and belongings of murdered tutsi, we passed by workers digging up ditches on the side of the road to lay down new fiber optic lines.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wanamgambo wote wenye silaha wanasemekana kuingia kwenye sehemu hiyo ya uwanja iliyokuwa imetengewa kwa ajili ya watu maarufu na shughuli za ndege za hajj, lakini kwa mujibu wa ramani ya uwanja huo, ndege zote huchangia njia moja ya kupaa au kutua.

英语

eighteen people from the airport staff, pakistan's national airline and security forces were also killed.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baada ya jaribio, wafanyakazi huamua dawa zinazopatikana hospitalini, tovuti ya who huchagua mhusika aliyelazwa hospitalini bila utaratibu kuwa mmoja wa kufanyiwa majaribio ya dawa au kwa kiwango cha utunzaj wa hospitali kwa ajili ya matibabu ya covid-19.

英语

after the trial staff determines the drugs available at the hospital, the who website randomizes the hospitalized subject to one of the trial drugs or to the hospital standard of care for treating covid-19.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

katika baadhi ya nchi, mfumo wa kisheria kwa ajili ya biashara umetoa motisha kidogo kutokana na udhaifu kama vile ukosefu wa upatikanaji wa mikopo, uhaba wa habari juu ya fursa za biashara, kutokuwepo kwa msaada kwa ajili ya wajasiriamali wadogo (hakuna vituo vya kuuzia biashara) na nguvukazi isiyotosha kwa usimamizi wa kampuni.

英语

in some countries, the legal framework for business leaves room for few incentives due to weaknesses such as lack of credit access, scarcity of information on business opportunities, absence of support for young entrepreneurs (no business incubators) and insufficient skilled workforce for company management.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

"maandamano ya pili ya kukaa na kubusiana kpigania tofauti na usawa," ambayo yaliandaliwa na proyecto arcoiris (mradi wa rainbow ambao unapingana na ubepari na kupingania uhuru), ulikusanya watu 60 kwa ajili ya besada kwenye moja ya majengo makubwa ya kibiashara jijini havana na watu wengine wasiopungua 15 wanaotokasagua la grande kwenye jimbo la villa clara siku ya tarehe 28 juni.

英语

the "second kissing sit-in for diversity and equality," which was organized by proyecto arcoiris (rainbow project), an anti-capitalist and independent project, gathered about 60 people for the besada in one of the main plazas in havana and about 15 people in own of sagua la grande in villa clara province on june 28.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
8,032,916,295 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認