您搜索了: majibu ya maswali yote yanahitajika (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

majibu ya maswali yote yanahitajika

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

andika majibu ya salamu zifuatazo

英语

write down the answers to the following greetings

最后更新: 2021-12-26
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

haya ni baadhi ya maswali yanayoibuliwa.

英语

these are some of the questions being raised.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ni muhimu lakini unaweza kuchukua muda kutafuta majibu ya maswali yaliyo hapa juu na maswali mengine mengi.

英语

it is essential but may take some time to search for answers to the above and many other questions.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

wai lin oo alionesha kusikitishwa kwake na majibu ya ubalozi:

英语

wai lin oo expressed his frustration with the embassy's response:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kujua majibu ya maswali hayo, shirika la friedrich ebert limetoa taarifa ya matumuzi ya mitandao ya kijamii nchini cameroon...

英语

to find answers to these questions, the friedrich-ebert-foundation has commissioned a research report on the use of social media in cameroon...

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

jitokezeni wafanyakazi mlio na mwajiri zaidi ya mmoja, twendeni wizara ya kazi na sera za jamii ili tupate majibu ya maswali yetu.

英语

come on freelancers, let's go to the ministry of labor and social policy and demand the answers they owe us.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

wakati huohuo, wanajamii wanasubiria majadiliano pamoja na majibu ya kero zao.

英语

in the meantime, the communities are waiting for dialogue and responses.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

bila kufahamu majibu ya maswali ya #1 na 2, hatuwezi kukatisha usambazaji kwa ufanisi na mkurupuko huu unaweza kutokea tena wakati wowote.

英语

without knowing answers to #1 and 2, we cannot efficiently cut the transmission, and the outbreak can relapse at any time.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

wanajamii wanataka majadiliano yawe ya wazi na wanasubiri majibu ya serekali ya pérez molina.

英语

the community wants to keep the dialogue open and is waiting for clear responses from the government of pérez molina.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kinachofurahisha, hata hivyo, ni pale waafrika wanapopata majibu ya kiubinifu kwa matatizo yao.

英语

what i find lovely, though, is when africans sort out innovative solutions to their problems.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ghana pundit hivi karibuni aliweka makala kuhusu majibu ya rais rawlings kwa mjadala uliopo hivi sasa:

英语

ghana pundit recently posted an article about president rawlings’ response to the current debate:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ili kusoma zaidi juu ya mjadala huu, tembelea tovuti ya capetownalive ambayo ina muhtasari wa baadhi ya maswali.

英语

for further coverage of the debate, visit capetownalive which also has a summary of some of the questions.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

baadhi ya watumiaji wameripoti kuwa walizuiwa kushiriki au pengine walidharauliwa na jessie aliwajibu kuwa hakuna mtumiaji ambaye alizuiwa, hata hivyo walikiri kuwa si maswali yote ambayo yalijibiwa.

英语

some users reported that they had been blocked or ignored however jessie responded that no users had been blocked, they did however acknowledge that not all questions were answered.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

pia, tutajadili mambo ambayo tumejifunza kufikia sasa kuhusiana na uzuiaji na chanzo cha ugonjwa pamoja na baadhi ya maswali ambayo bado hayajajibiwa.

英语

we will also discuss what we have learned so far regarding the prevention and prognosis of the disease as well as some remaining yet urgent questions.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

amalia alituma wito kwenye radio alhamisi asubuhi na watu wakaja kuendelea na wasiwasi kidogo kuhusu majibu ya bosi wangu kuhusu njia yangu ya kusimamia matatizo ya afya mitaa yetu na kuvuka mipaka ..

英语

amalia send a radio call on thursday morning and people came progressively a little worried about the reaction of my boss regarding my way of managing our local health problems and crossing borders ..

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

jinsi ninatamani kukujua katika hali halisi?🍃😊 sasa sasa baada ya kusema kwamba utaniambia nikuulize maswali kadhaa juu yako🤣🤣🤭 na kama kila wahati sina majibu ya kuuliza

英语

i long to see you

最后更新: 2020-07-03
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kbs inalenga zaidi juu ya majibu ya rais kuliko waathirika na taarifa juu ya ujumbe wa kuwaokoa (kupitia mwanabloglu kwenye mtandao kupitia alama ashiria "mimi ni peter")

英语

kbs focuses more on the president's reaction than the survivors and updates on the rescue mission (by blogger with the online handle of "i am peter")

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

kwa mujibu wa sheria ya macedonia ya uhuru wa kupata taarifa ya kanuni ya umma, mamlaka za serikali zinalazimika kutolea majibu ya maombi ya uhuru wa kupata taarifa (foi) ndani ya siku 30.

英语

according to macedonia's law on freedom of access to information of public character, state bodies are under obligation to respond to written foi requests within 30 days.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kufuatilia watu waliogusana na karantini ya lazima, kama sehemu ya majibu ya afya ya umma kwa mkurupuko wa covid-19, kunaweza kuwatia watu wasiwasi zaidi na maasumu kuhusu athari za maambukizo, karantini na unyanyapaa kuhusu familia na marafiki.

英语

mandatory contact tracing and quarantine, as a part of the public health responses to the covid-19 outbreak, can make people more anxious and guilty about the effects of the contagion, quarantine, and stigma on their families and friends.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

baadhi yenu mnasema rais alikuwa sahihi kwa majibu ya namna ile –- mimi nasema rais anahitaji kutumia njia za kidiplomasia kwa mazingira yoyote –lazima aulize kwa nini waliondoka nchini na sio kuwafokea – haikuwa sahihi kabisa!

英语

some of u r saying mcs was right in answering the way he did - i am saying the president needs to use diplomacy regardless - he should ask why they left n not castigate them - aint right at all!

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,786,784,007 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認