您搜索了: majuma (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

majuma

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

katika majuma machache yaliyopita?

英语

through over the past few weeks?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

na suala hili limetawala mijadala kwa majuma?

英语

and this issue has dominated public discussion for weeks?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

haya yatakuwa mapinduzi makubwa katika kipindi cha majuma machache.

英语

all out revolution within weeks.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

aliwahishwa ufaransa, ambako alifariki dunia majuma kadhaa baadae.

英语

he was rushed to france, where he died several weeks later.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ndani ya majuma matatu ama manne mavuvuzela ya awali yatauzwa uswisi.

英语

within three to four weeks the first vuvuzela's should be for sale in the netherlands.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

inakadiriwa kuwa sehemu moja ya sita ya idadi ya raia wa nchi hiyo waliuawa ndani ya majuma kadhaa.

英语

around one-sixth of the country's total population was killed in a matter of weeks.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mama wa amin anvari aliongeza kwamba amekuwa kimya kwa majuma mawili baada ya kukamatwa kwa kijana wake.

英语

amin anvari’s mother added that she was silent for two weeks after her son’s arrest.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

katika majuma yaliyopita, mkuu nchini marekani alipata barua zenye maneno makali ya kukosoa filamu hiyo.

英语

in the previous week, senior executives in the us received letters with harsh considerations and serious criticism of the movie.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

abidjan na maeneo mengine ya côte d'ivoire yamekumbwa na mafuriko makubwa katika majuma kadhaa yaliyopita .

英语

abidjan and other regions of côte d'ivoire have been plagued by heavy downpour and floods for the past weeks .

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

filamu ya "difret" imeoneshwa kwenye kumbi za filamu mjini addis ababa kwa majuma sita.

英语

"difret" played to sold-out audiences in addis ababa for six weeks.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

besigye alipewa dhamana kwa sharti kuwa asijihusishe na kampeni ambayo imeuweka utawala wa uganda kwenye vichwa vya habari kwa majuma matatu sasa.

英语

besigye had been granted bail on the condition that he would not engage in the campaign that has put the ugandan regime in the headlines for three weeks now.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

majuma machache yaliyopita, wananchi walianza kudodosa kuhusu nani hasa anaweza kumrithi rais ikiwa yeye mwenyewe hatajitokeza tena mwaka 2016 kwa awamu nyingine ya nne.

英语

a few weeks ago, citizens started speculating about who will succeed the president if he does not come back in 2016 for a forth term.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

jina halisi la mampi ni mirriam mukape. baada ya kuwa kwenye nyumba hiyo ya big brother kwa majuma matatu, washindani wenzake walipendekeza atolewe.

英语

mampi, real name mirriam mukape, lasted three weeks in the house before she was nominated for eviction by other housemates.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

rais wa zamani wa misri hosni mubarak amewahi kufa angalau mara moja kwa kila baada ya majuma machache tangu kuanza kwa mapinduzi ya misri, yaliyouangusha utawala wake uliodumu kwa miaka 32.

英语

former egyptian president hosni mubarak has died at least once every few weeks since the beginning of the egyptian revolution, which toppled his 32-year reign.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mashirika mengi ya kimataifa yanayojihusisha na kuwatunza watoto walio kwenye mazingira magumu, katika majuma mawili yaliyopita, yametoa tamko la kupinga uasiliwaji huu wa haraka nchini haiti.

英语

most international agencies involved in crisis childcare have, in the past two weeks, stated opposition to rapid adoptions in haiti.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hata hivyo, jaribio la hatari zaidi lililofanywa na idara ya mahusiano ya umma ya rais ni picha ya rais sata akimwapisha mkuu wa masuala ya kisheria wa serikali musa mwenye ambaye alithibitishwa na bunge kwa nafasi ya mwanasheria mkuu wa serikali lakini hajaapishwa majuma kadhaa.

英语

however, the most disastrous public relations stunt that spectacularly backfired was the picture of president sata swearing in then solicitor general musa mwenye who had been ratified by parliament for the position of attorney-general but had been unsworn for weeks on end.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

attahiru jega, profesa wa sayansi ya siasa na mkuu wa tume ya taifa ya uchaguzi (inec) kwa kiasi kikubwa ndiye atakayeamua juu ya kuhalalishwa kwa zoezi la upigaji kura ndani ya majuma matatu.

英语

attahiru jega, a professor of political science and head of the independent national electoral commission (inec) will determine to a large extent the credibility of the polls within these three weeks.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

katika majuma machache yaliyopita, gereza la torah liligeuka siyo tu kuwa makazi ya watoto wa mubarak, lakini pia limekuwa makazi ya nguzo (watu) wengi tu waliokuwa katika utawala wa mubarak.

英语

in the past weeks, torah prison became not only host for mubarak's sons, but it has also been hosting many of the pillars of mubarak's regime.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hali hii inabadili mwelekeo uliokuwepo tangu januari 25, 2014, majuma kadhaa kabla ya kufunguliwa rasmi kwa mashindano hayo, ambapo wa-rusi wali-twiti zaidi kuhusu kiev kuliko sochi, mahali yanakofanyikia mashindano ya olimpiki.

英语

this reverses a trend in place since january 25, 2014, weeks before even the opening ceremony, when russians last tweeted more about kiev than sochi.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,791,605,074 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認