您搜索了: mambo kwa yesu (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

mambo kwa yesu

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

elezea mambo kwa ufasaha kuliko wengine.

英语

you have to explain things better than anyone.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

leta mizigo yako yote kwa yesu

英语

bring all your burdens to jesus

最后更新: 2023-11-23
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

chota maji ya huzima kwa yesu

英语

mom a

最后更新: 2023-06-10
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kunyamaza kunazidi kuzorotesha mambo kwa kuwa hakuna anayeteta.

英语

an anonymous visitor on the site adds: not talking about it only makes it worse and it becomes acceptable because no one is complaining.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ndiyo, wamefanya mambo kwa ajili yetu, lakini wao ni serikali yetu.

英语

yes, they have done things for us, but they're our government.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

katika historia hii ya marekani, obama anaonekana kama anayepuuzia mambo kwa mtazamo chanya.

英语

against this background of us, obama comes across as positively neglectful.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ama kwa hakika upinzani huu unaotolewa na fair hautazami mambo kwa haki bali unatokana na kiburi tu.

英语

fair’s opposition is dishonest and wrongheaded.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

natumahi kuwa na sherehe maalum sana ya kuzaliwa kwa yesu katika krismasi hii

英语

much love from texas

最后更新: 2020-10-23
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

arles anaeleza hali ya mambo kwa ufupi na kusema kwamba anaamini ametishiwa na gazeti lililo kubwa zaidi nchini brazili:

英语

arles briefly explains the situation and says he believes he has been intimidated by the largest brazilian newspaper:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mwenendo wa mambo kwa zaidi ya miaka 10 hadi 20 iliyopita, unaonyesha kudorora kwa kasi kwa mafungu ya fedha za kuendeleza sayansi kutoka serikalini.

英语

the pattern you’re seeing is a steady drop in funding of science by the government over the last 10 or 20 years.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

walipofika kwa yesu, walimsihi sana, wakasema: "huyu anastahili afanyiwe jambo hilo,

英语

and when they came to jesus, they besought him instantly, saying, that he was worthy for whom he should do this:

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

kuzungumza lugha moja kunasababisha kuwa na mtazamo finyu, kuyatazama mambo kwa uelewa mdogo kwa sababu ya ukweli kwamba maarifa yote ayanayopatikana yanakuwa kwenye lugha moja tu.

英语

monolingualism encourages insularity, a restricted worldview in which the only knowledge available to one is from one linguistic source.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

basi, hao dada wakatuma ujumbe huu kwa yesu: "bwana, rafiki yako ni mgonjwa!"

英语

therefore his sisters sent unto him, saying, lord, behold, he whom thou lovest is sick.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

kwenye mazungumzo ya gv juma hilo, tunazungumza na marafiki waishio serbia akiwemo mhariri wetu wa ulaya ya kati na mashariki radisic ili kuelewa hali ya mambo kwa mtazamo wa wenyeji kuhusu habari hizo.

英语

on gv face this week, we talk to friends in serbia, including our central and eastern europe editor danica radisic to get a local perspective on the news.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

akichambua mchango wa jumla wa obama katika maendeleo ya afrika, tolu alimwona obama kama mtu "apuuziaye mambo kwa namna chanya" anapomfananisha na mtangulizi wake bush.

英语

looking at obama's overall contribution to africa's development, tolu considered obama "positively neglectful" when comparing him to the bush administration.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

neema na huruma na amani zitokazo kwa mungu baba na kwa yesu kristo, mwana wa baba, zitakuwa pamoja nasi katika ukweli na upendo.

英语

grace be with you, mercy, and peace, from god the father, and from the lord jesus christ, the son of the father, in truth and love.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mungu huwakubali watu kuwa waadilifu kwa njia ya imani yao kwa yesu kristo; mungu hufanya hivyo kwa wote wanaoamini; hakuna ubaguzi wowote.

英语

even the righteousness of god which is by faith of jesus christ unto all and upon all them that believe: for there is no difference:

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ninyi hutazama mambo kwa nje tu. je, yupo mtu yeyote anayedhani kwamba yeye ni wa kristo? sawa! basi, afikirie vilevile kwamba sisi pia ni wa kristo kama yeye alivyo wa kristo.

英语

do ye look on things after the outward appearance? if any man trust to himself that he is christ's, let him of himself think this again, that, as he is christ's, even so are we christ's.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mike ryan, mkurugenzi mkuu wa mpango wa who wa hali ya dharura za afya, alitoa onyo katika taarifa kuwa "hii ni uhalisia wa mambo kwa kila serikali katika sayari: amkeni.

英语

mike ryan, executive director of the who's health emergencies program, warned in a statement that "this is a reality check for every government on the planet: wake up.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

@simsimt: bila kutoa undani sana wa mambo kwa sasa, nilikamatwa na jasusi aliyekuwa kwenye mavazi ya kiraia wa #niss ambaye alinifuata wakati nikiandika twiti. #sudanrevolts

英语

@simsimt: without further detail for now, i was arrested by an #niss agent in plainclothes who approached me while i was tweeting. #sudanrevolts

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,745,717,031 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認