您搜索了: masihara (斯瓦希里语 - 英语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

masihara

英语

maasihara

最后更新: 2022-08-21
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

"kuwa taswira ya mapambano, na makalio ya kila masihara"

英语

@cchabikwa @fingerray @sirnige @263chat @cynicharare @rangamberi @conormwalsh @tvyangu "being the face of the struggle & butt of every joke" — delta milayo (@deltandou) april 30, 2014

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

kuhusu kukosekana kwa mabandiko kwenye ukurasa wa facebook wa sata, sikota anabaini kwa hali ya masihara:

英语

on sata’s facebook hiatus, sikota observed with a touch of sarcasm:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

wengi walichukulia tukio hilo kuwa ni masihara tu kwamba yesu aamue kutokea cameroon badala ya maeneo mengine:

英语

many found it hilarious that jesus would choose to appear in cameroon of all places:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

waandaaji wa masihara haya ni jamaa wanaoitwa the yes men ambao wamepata hadhi ya uhalifu wa kidunia kwa kuyadhalilisha mashirika na serikali, mara nyingi kwa kutoa matamko ya uwongo kwa kutumia majina yao.

英语

there's still no official confirmation of who is behind the prank, but it closely resembles previous actions by the organizers of the prank are the yes men who've earned global notoriety for publicly humiliating corporations and governments, often by putting out false statements in their name.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ingawa inaweza kusikika kama vile masihara, siku ya vyoo duniani inatilia maanani kwenye suala ambalo si la mzaha linalowakwanza karibu nusu ya watu wote duniani – ukosefu wa vyoo na mfumo wa usafi.

英语

while it may sound like a bad joke, today's world toilet day focuses on a not-so-funny issue impacting almost half the world's population — a lack of toilets and sanitation.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

askari polisi wa georgia wanaripotiwa kuwa wameweza kuwafuatilia na kuwapata waharibifu wa fikra waliohusika katika utengenezaji wa video za masihara ‘chafu na zinazotusi’ ambazo zilimlenga mkuu wa kanisa la orthodox na kusababisha aibu katika taifa zima kwenye nchi hii yenye kufuata dini kwa bidii.

英语

the georgian police are reported to have tracked down the thought criminals responsible for "indecent and insulting" satirical videos which targeted the head of the orthodox church and caused a nationwide scandal in this fervently religious country.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,792,327,820 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認