您搜索了: mchapishaji wa muziki (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

mchapishaji wa muziki

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

sasa tunahitaji nyota huyo wa muziki kuwatia moyo watu na kuzunguka nchi nzima kuwaunga mkono wagombea wa umeya na ugavana.

英语

now more than ever we need our rock star encouraging people and touring the country to support candidates for mayors and governors.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

thinley alihukumiwa miaka tisa gerezani kwa "kuhamasisha hisia za kuipinga serikali miongoni mwa wasikilizaji wa muziki wake".

英语

thinley was sentenced to nine years imprisonment for "mobilizing anti-government sentiments among tibetan listeners of his music".

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

upigaji wake wa muziki wa soca ulikuwa tofauti kidogo, ulikuwa na hisia za merengue na ulikuwa na mahadhi yanayovuka mipaka na kuijumuisha karibeani yote.

英语

his was a different take on soca, it had the feel of merengue and it seemed to crossover into a more pan-caribbean vibe.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hata sio muda mrefu uliopita, toni zen alikuwa nyota mkubwa wa muziki wa kufoka foka nchini macedonia, akipendwa sana na vyombo vya habari vilivyofuatilia kila alichokifanya.

英语

toni zen was once, not so long ago, macedonia's biggest hip hop star, a media darling whose every move was followed.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kazi ya sanaa ya kasha la albamu ya nyota ndogo iitwayo – mpenzi amekuwa akijikusanyia mashabiki wa muziki wa mahadhi ya afrika mashariki kwa zaidi ya miaka mine sasa.

英语

an artwork of her nyota ndogo's cover album - mpenzishe has been collecting fans of her eclectic east african sound for over 4 years now.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kampuni ndogo ya kujitegemea ya utayarishaji wa muziki wa mahadhi ya dansi nchini ukraine imekonga nyoyo za watumiaji wa you tube pamoja na wale wa apple kupitia kwenye video fupi ya muziki ambayo hadi sasa imeshatazamwa na watu zaidi ya nusu milioni.

英语

a little-known ukrainian indie rock collective has captured the hearts of youtube users—and apple fans—with a cleverly shot music video that now has over half a million views.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

@pmoindia: “ushawishi wa mapenzi yake kwa ushairi wa urdu na kutayarishwa kwake mapema katika utamaduni wa dhrupad umemzawadia nafasi muhimu sana katika ulimwengu wa muziki”

英语

@pmoindia: the influence of his passion for urdu poetry and early grooming in dhrupad tradition earned for him a special place in the world of music.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

katikati ya vilio vya unafiki kutoka kwa wasanii wengi wa kijamaika ambao wanahisi kwamba mtindo wa dancehall pekee ndio unasakamwa, bloga wa kijamaika, madbull aliyeko huko cayman, anaandika kwamba anaunga mkono amri hiyo na anafikiri kuwa amri hiyo ienezwe na kuzuia mtindo wowote wa muziki unaotarajiwa kurushwa hewani.

英语

amidst cries of hypocrisy by several jamaican artistes who feel that dancehall is being unfairly singled out, madbull, a jamaican blogger in cayman, writes that he fully supports the ban and thinks it should be extended to any genre of music being considered for public airplay.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

utamaduni wa japani pia una mwiko mkali kuhusu kujadili au hata kuonesha kuwa kuna kiungo kinaitwa uke (ingawa metroplis tv yenye kidachi, mchapishaji wa kipande hiki kinachoelimisha hapa chini, haina tatizo na kutumia maneno kama "mtumbwi wa uke" kuelezea kayak za igarashi zenye sura ya uke):

英语

japanese culture also has a strong taboo about discussing or even acknowledging vaginas (although holland-based metroplis tv, the publisher of the informative clip below, has no problem with using the term "pussy boat" to describe igarashi's vulva-shaped kayak):

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

一些相关性较低的人工翻译已被隐藏。
显示低相关性结果。

获取更好的翻译,从
7,791,819,738 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認