您搜索了: mpatanishi (斯瓦希里语 - 英语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

mpatanishi

英语

honest

最后更新: 2014-10-17
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

msomaji ajiitaye an anguished peace maker (mpatanishi mwenye hasira) aliandika:

英语

an anguished peace maker wrote:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ama hakika, mpatanishi hahitajiwi ikiwa jambo lenyewe lamhusu mtu mmoja; na mungu ni mmoja.

英语

now a mediator is not a mediator of one, but god is one.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kama mpatanishi mkuu alitegemewa kujaribu kupita njia ya kati katika kugota huku kwa mahusiano ambako kunazidi kuongezeka kina, basi hakutuvunja moyo.

英语

if the prime conciliator was expected to attempt a middle way out of our deepening deadlock, he did not disappoint.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

pia, mpatanishi wa amani lakhdar brahimi aliwasili syria leo kama sehemu ya mpango wake wa "kutafuta ufumbuzi" katika nchi.

英语

also, peace envoy lakhdar brahimi arrived in syria today as part of his mission to "broker a solution" in the country.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名
警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

totonicapán ni miongoni mwa maeneo machache ambayo mamlaka za wazawa zina nguvu, zilizogawanywa katika majimbo 48 yanayoongozwa na mameya pamoja na rais ambaye anafanya kazi kama mpatanishi endapo kutatokea migogoro na pia kama mzungumzaji mkuu endapo kutakuwa na majadiliano ya nje ya wanajamii.

英语

totonicapán is one of the few territories where indigenous authorities exercise power, divided in 48 cantons, lead by community mayors and a president who serves as the mediator in case of conflicts and as the spokesperson when it is necessary to dialogue beyond the community.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ya nini basi, sheria? iliongezwa hapo ili kuonyesha uhalifu ni kitu gani, mpaka atakapokuja yule mzawa wa abrahamu aliyepewa ile ahadi. sheria ililetwa na malaika kwa mkono wa mpatanishi.

英语

wherefore then serveth the law? it was added because of transgressions, till the seed should come to whom the promise was made; and it was ordained by angels in the hand of a mediator.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kikundi cha wanafunzi wa chuo kikuu cha amirkabir kilichopo tehran nchini iran, kiliimba kauli mbiu za kuunga mkono upinzani, huku wakibeba mabango na kupeperusha bendera ya iran wakati wa hotuba ya mgombea aliyeshindwa mhafidhina ambaye alikuwa mpatanishi mkuu wa nguvu za nyuklia saeed jalili mnamo aprili 14, 2014.

英语

a group of students at iran's amirkabir university in tehran chanted pro-opposition slogans, held placards and waved the iranian flag during a speech by failed conservative presidential candidate and former top nuclear negotiator saeed jalili on 14 april 2014.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,743,899,900 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認