您搜索了: mwafaka (斯瓦希里语 - 英语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

mwafaka

英语

appropriate

最后更新: 2012-08-27
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

na huu ndio wakati mwafaka wa homa yako ya mzio

英语

and is this the right time for your hay fever

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

lazima uchunguzi uwe "halali, muhimu, na mwafaka";

英语

surveillance would have to be "lawful, necessary and proportionate";

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

3) ofisi ya huduma za dharura imeagizwa kuchukua hatua mwafaka kuhakikisha utiifu wa amri hii.

英语

3) the office of emergency services is directed to take necessary steps to ensure compliance with this order.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tuombe kwamba jambo hili liamshe ari si ya kublogu peke yake lakini hasa katika kufanya mambo yaendane vema na utoaji wa makala zilizo mwafaka.

英语

let us hope that this will spur growth in not just blogging but also in the relevance of the content.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa hiyo, taasisi itabuni, miongoni mwa mambo mengine, jukwaa linalozingatia hali halisi na lililo mwafaka litakalojishughulisha na watangazani kutoka nchini kenya.

英语

thus the association will among other things, come up with a more realistic and relevant ad platform that will involve local advertisers.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

moja ya mambo yaliyotiliwa mkazo sana lilikuwa kuhusu kujenga jamii ambapo wanablogu watasaidiana na kufanya kazi pamoja ili kufikia lengo moja ambalo ni kutoa habari za nchi zilizo mwafaka na zenye kufaa kupitia mtandao.

英语

one of the things that received a lot of emphasis was the need to build a community where bloggers supported each other and worked closer together to achieve a common objective which is to provide relevant and useful local content online.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

katika mfano mmoja, wakati hospitali ya italia ilihitaji kwa haraka neli ya uingizaji hewa, na muuzaji hakuweza kuwasilisha kwa muda mwafaka, muuzaji wa ndani alitengeneza na kuchapisha neli 100 zinazohitajika kwa usiku mmoja.

英语

in one example, when an italian hospital urgently required a ventilator valve, and the supplier was unable to deliver in the timescale required, a local startup reverse-engineered and printed the required 100 valves overnight.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,727,269,311 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認