来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
ingawa siku hiyo itasherehekewa kote ulimwenguni, madrid, mji mkuu wa hispania, umechaguliwa kuwa wenyeji wa tamasha kubwa la kusherehekea siku ya kimataifa ya kwanza ya nelson mandela, na bb king anatarajiwa kutumbuiza.
although the day will be celebrated worldwide, madrid, in spain has been chosen as the host of the first official nelson mandela international day celebration concert, at which bb king is billed to perform.
mwanablogu mmisri, zeinobia, amesambaza onyesho hili la picha kutoka hala'ib, bandari na mji katika mwambao wa bahari ya shamu, kwenye pembetatu ya hala'ib, karibu na mpaka wa sudan:
egyptian blogger zeinobia shares this slideshow of photographs from hala'ib, a red sea port and town, located in the hala'ib triangle, close to the sudanese border: